Chama cha waliozaa na wanigeria & wachina (CHAWANICHA)

Chama cha waliozaa na wanigeria & wachina (CHAWANICHA)

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,806
Reaction score
3,860
Nimekuwa nikipata maombi toka kwa watanzania mbali mbali kuhusu ku-coordinate uanzishaji wa Chama cha Wakinamama pamoja na kinababa waliozaa na raia wa matatifa niliyotaja (Nigerians & Chinese).

Ambao kwa namna moja ama nyingine wazazi wenzao toka mataifa hayo wamewakimbia hawat
oi matunzo ya watoto wao nchini Tanzania.

Nimelileta kwenu wadau hasa ( Wanasheria, Maafisa ustawi wa jamii, wanaharakati na viongozi wa Dini) je jambo hili nikilianzisha nitakuwa navunja sheria yoyote ya nchi? Na je kwa uzoefu wako umeshawahi kukumbana na watoto wazazi wenye matatizo kama haya.

Natanguliza shukrani.
 
connections mimi nina dada zangu wawili ni wahanga na hao jamaa wa-nigeria 1. alizalishwa huko japan na sasa karejea bongo na mtoto wake na jamaa haonekani wala kuleta matunzo 2. aliolewa kabisa na jamaa flani anajiita mchungaji na harusi tukacheza (mbwembwe zilikuwa si kitoto) akahamia nigeria baada ya miezi 3 akarejea kimya kimya na ndoa ikavaa bukta.
 
Tatizo hhil i ni kubwa mno hasa sehemu za mijini Dar es Salaam, Arusha & Zanzibar hasa kwenye mahoteli, makanisani na mahospitalini (priovate hospitals) dada zetu RECEPTIONISTS, BAR MAIDS & USHERS makanisani wamelizwa sana na Wa-nigeria. I strongly support the idea ili kuwasaidia hawa dada zetu.
 
Mathare au Kibera ha ha ha! mkuu usichafue hali ya hewa humu tafadhali ndugu zetu wa "kwenyu ni kwenyu" ukitaja hayo maeneo wanastuka hasa
 
ila kweli wadada wengi sijui wanaona foreigner kwamba wana nini wanagandana na kuwalea .................mwishowe wanaachiwa mizigo aisee hiko chama kitasaidia
 
Hebu wafungulie dhambi ya kusema wametelekezwa labda itaisha.....
 
Dada zetu ningewashauri msishobokee wageni bila kuwajua vizuri mtaishia kuwalea watoto ambao baba zao wameyeyuka.
 
Duh

Hawa wanaija wasivyoaminika...ila sema ndio mahaba hayo.....

Halafu kuzaa na foreigner yataka moyo na roho pia
 
Wanaija na Wachina wamezidi utapeli kwa kweli bora hata dada yangu azae na babu wa kizungu kuliko hawa ndugu zetu.
 
Wazo hili bado ni teke (infant stage) nafikiria kama litafanikiwa ni pamoja na kushirikiana na Wizara ya afya, wizara ya ustawi wa jamii, Polisi/Interpol & balozi za wahusika ili kutafuta uwezekano wa kuwabana hawa jamaa watunze watoto ambao wanataabika hapa Tanzania
 
Mgeni sio wa kumwamini hata siku moja kaa ukijua ipo siku atarudi nchini mwake.

Wakina dada wawe makini kushobokea wageni
 
Kiruuuu wachina wajenga uwanja wa taifa, wanigeria wale wezi wa mitandaoni? Aiseee wadada acheni kushobokea for.... ni here uzae na kijana kapuku wa kijijii kwenu au mtaifa mwenzio kuliko hawa msiowajua kisa rangi nyeupe na maguo ya bazeee...
 
Tatizo hhil i ni kubwa mno hasa sehemu za mijini Dar es Salaam, Arusha & Zanzibar hasa kwenye mahoteli, makanisani na mahospitalini (priovate hospitals) dada zetu RECEPTIONISTS, BAR MAIDS & USHERS makanisani wamelizwa sana na Wa-nigeria. I strongly support the idea ili kuwasaidia hawa dada zetu.

Hakuna sababu ya kuhangaika nao, ni wahanga....kwani walibakwa au walivua kwa hiari??? LABDA KAMA UNATAKA KUANZISHA KAMRADI KA KUWACHANGISHA WANAOLIA NA MATOKEO YA KUHUSIANA KWAO NA IYO TYPE OF PEOPLE. Kama ni foundation...kula hela bana....mbona foleni itakuwa ndefuu??? TUMIA FURSA.
 
Mkuu aina aja ya kuanzisha icho chama coz utawapa vichwa wawe wanazaazaa ovyo kiufupi dada zetu wamezidi xna wakiona foreigners shobo nyingi xna ushaur wangu dada zetu tulieni acheni papara.
 
Back
Top Bottom