Chama cha walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama cha walimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MSEHWA, Apr 21, 2011.

 1. M

  MSEHWA Member

  #1
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nianze kwa swali! Hivi CWT mnachowasaidia walimu ninini? Nadhani muondoe kifungu cha 'KILA MWALIMU NI MWANACHAMA' Hamuoni mnawanyima watu DEMOKRASIA ya kujiunga au kutojiunga? 1.Katika MANISPAA YA SHINYANGA walimu wanachangia vitambulisho sh.1000/= wakati mnafaham fika kitambulisho ni mali ya mwajili. Chakushangaza cwt shy wanasema kua mkurugenzi kaidhinishwa na madiwani kama mradi wa manispaa. Hivi unakubali mwalim wako awe mradi? Wewe na mkurugenzi kunauhusiano upi? Na anaefanywa kua mradi ni naniyako? Je umelinda haki yake? 2. Suala la kupandishwa madaraja, kwa mujibu wa MUONGOZO WA SEREKALI 2009/2010. "WAAJIRIWA WA 2006 na 2007 WAPANDISHWE NGAZI ZAO ZA MADARAJA" halmashauri ya manispaa shinyanga imewapandisha wa 2006 tu. Kigoma manispaa ilipandisha 2006 juzi wa 2007 wameandamana kwenda kwa mkurugenzi wameamua wawapandishe. Hivi hii miongozo chama cha walimu mkipewa ilimradi mnakula 4% ya walim kila mwezi hamjui zinawauma walimu mkawasaidia? 3. Katk hiyo 4% mnayowakata 1% inatakiwa irudi ktk matawi. Imekua kiini macho. Hivi kwanini mjali maslahi binafsi halafu mjiite ni chombo cha kutetea walimu. Kumbukeni "KILA NDEFU INA NCHA" tunataka "DEMOKRASIA NA UWAJIBIKAJI LA SIVYO ....!!!" 4. Mfuko wa bima ya afya unamkata mwanachama pesa hata kadi hajapewa. Je, hayo malipo kwa tibaipi na uanachama upi? Hii nayo inahitaji elimu ya chuo kikuu au diploma? JAMANI WAONEENI HURUMA WALIMU MTAIFANYA ELIMU IZIDI KUA CHINI
   
Loading...