Chama cha Walimu kinazidi kuwakamua Wanachama wetu

kson m

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
6,648
3,003
Cwt imeamua kupora fedha za wanachama ambazo kikawaida zinarudishwa tawini kutoka kwenye makato ya ada za wanachama. Huu ni mwendelezo wa ubabe na uporaji wa wazi.
IMG_20210517_091847_0.jpg
 
T-shirt tu za May Day, waliwaibia, walishindwa kuwagawiya wanachama wao wote, ingawa waliwakata hela, leo wanakuja na upigaji mwingine, eti kujilipa posho za mafunzo.

Everyday is Saturday...............................:cool:
 
Back
Top Bottom