Chama cha walimu bagamoyo nisaidieni mtanzania mwenzenu

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
NIMEFANYA KAZI MIAKA5,MWAKA JANA NIMEOMBA RUHUSA NIKABANIWA NA ILIKUA ZAMU YANGU KUSOMA DEO KANINYIMA NA MUDA HUO WENGINE MIAKA 2 WANA RUHUSA.NIMEMPELEKEA MWENYEKITI WA CWT MALALAMIKO ANAMWOGOPA DEO,HIKI CHAMA NI CHA WALA PESA ZA WALIMU NA NA HATA KIKAFUTWA LEO MAANA WATU WENGI WANALALAMA.Wana jf naombeni ushauri niende wapi ma sina mshahara miaka2 sasa na Ubabe wa DEO Ndo unanifanya nishindie mikate iliyooza na nikipiga msuli huku sometime naharisha,ila a2015 kitaeleweka
 
mfuate huyo huyo do....au tumia mfuko wako si unajua mkono mtupu haulambwi
 
Umekosa shabaha...unamlalamikia kila mtu...sasa hiyo 2015 kitaeleweka kwa DEO au kwa CWT? Najua una maumivu makubwa lakini unakosa shabaha, umeenda TSD Wilaya, Mkoa na Taifa? Umeenda kwa DED? Umeenda kwa REO au RAS?. Kama kote huko kugumu umeenda Tamisemi? Tatizo Walimu wengi huwa hawapendi kujifunza sheria na taratibu, otherwise kama una swali niPM nikusaidie
 
Back
Top Bottom