Chama Cha Wagonjwa!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama Cha Wagonjwa!!!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Ligogoma, Jan 27, 2012.

 1. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,140
  Likes Received: 858
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF!!

  Hii serikali changanya na hawa madaktari wote wametuweka pabaya wale ambao afya zetu zimeyumba kidogo.

  Kwa pamoja tushirikiane tuanzishe chama cha kutetea wagonjwa maana kati yao hakuna anayekumbuka maslahi ya mgonjwa wote wanajali ya kwao tu si serikali wala madaktari!!!!

  Hebu jiulize, mgonjwa anatetewa na nani???? Hata maslahi yakiboreshwa ile tabia ya kitu kidogo itaachwa??? Watajituma kuokoa maisha yetu???

  Chama cha kutetea wagonjwa kinahitajika sasa!!!

  Nawasilisha
   
 2. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35


  Mbona kipo siku nyingi tu,hujawahi kuumwa nini ?!
   
Loading...