Chama cha walimu wa shule za private kinaitwa TANZANIA PRIVATE SCHOOLS' TEACHERS UNION (TPTU)
Kinahusika na mambo mengi yakiwemo
Kushghulikia stahiki za walimu wa shule binafsi
Kudai haki za walimu walionyimwa haki zao
Ucheleweshwaji wa mishahra ya waalim
Kuwepo kwa mishahra ya kukandamiza waalimu km watumwa,
Malimbikizo ya malipo ,
Kuweka mikataba sawa ,
Kushughulikia kuwepo kwa fao la kujitoa ili unapoacha kazi upewe chako cha kujikimu,
Mishahara kupitia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii n.k
Katbu mkuu anaitwa julius mabula
Uhusiano wa hiki chama CWT labda kukaa kubadilishana mawazo tu. Broo ukipata connection nacho nijuze nazid kusakanya
Sent using
Jamii Forums mobile app