Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,866
- 128,936
Nahisi kile kinaendeshwa na yule alishushwa jukwaani kule Hai hadi aibu
Aibu kushushwa jukwaani na vyombo vya dola visivyotii maadili zaidi ya amri za viongozi wenye ulevi wa madaraka? Hivi mnadhani bado wananchi wako kwenye usingizi mzito wa hivyo kiasi kwamba hawajui wala kusikia lolote?