Chama cha siasa chenye wanachama wengi duniani

Chama cha siasa chenye wanachama wengi duniani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,831
Bharatiya Janata Party (BJP), Chama tawala cha India kinashikilia rekodi ya dunia ya kuwa na wanachama wengi wenye kadi.

Chama hiko kilikuwa na wanachama zaidi ya milioni 100 kwa takwimu za 2015.

Chama hicho kiliingia madarakani na kuwa Chama Tawala mwaka 2014.

==
Narendra Modi's Bharatiya Janata Party (BJP) in India claims to be the world's largest political organisation. With 88 million registered members as of March 2015, the right-wing political party has at least 1.3 million more members than the Communist Party of China. By July 2015, the BJP had reached a membership of 100 million people.
 
Back
Top Bottom