Chama cha NASA nchini Kenya kinaomba kura kwa kutumia jina la Rais wa Tanzania

baba_la_kichaga

Senior Member
May 15, 2017
127
225
Kwanza napenda kumpongeza mheshimiwa Rais kwa kazi nzuri anayofanya kuifanya Tanzania ing'are Kimataifa katika pitapita zangu nchini Kenya nimekutana na viongozi wa chama cha NASA ktk kampeni zao wakijigamba kuwa wakishinda uchaguzi watafanya mabadiliko makubwa kama Mheshimiwa Rais Magufuli alivyoifanyia Tanzania.
Hongera sana Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri
 

Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,718
2,000
Hongera zake! Ila ingawa nyumba hupendeza rangi ya nje wakati ndani makochi yameoza!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom