Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 92
- 280
Kwa mbeleko zilizopo Kwakweli kitaendelea kutamba. !CHAMA CHA MAPINDUZI KINA MIONDOKO MINGI KULINGANA NA INAVYOTAKIWA KUWA, CHAMA KIKONGWE NA KITADUMU
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Kuna wakati nabaki kucheka baada ya kusikiwa watu wakiweweseka kuhusu upangaji wa safu za uongozi katika chama cha Mapinduzi, wengi hawajui kwamba chama cha Mapinduzi ndio chama Mama na Baba katika Afrika, ni moja ya vyama vya ukombozi vinavyoendelea kudunda madarakani,
Hakidumu kwa sabubu nyingine bali muundo wake wa uhuru, haki na democrasia ndani ya chama, ni chama kilichojaa viongozi wenye mitindo na kasi zisofanana.
Hii humsaidia Mwenyekiti kupanga na kupangua pasi kuwa na shaka. kinapopumzika chuma kinaingia chuma kingine.
Juzi baada ya Rafiki yetu Paul Makonda kuipiga kazi kisawasawa alipopangiwa kazi nyingine kejeli, maneno yalitawala, kumbe Dr Samia anakiona chuma kingine Amos Makala ( CPA ) watu wanaduwaa tena bado wapinzani wamebanwa pabaya.
Zaidi Dr Samia amewapa UVCCM Joket Mwegelo hawa ndio wajanja wa mjini uwezo wake wa kuunganisha vijana ni mkubwa mno, ana sauti ya mamlaka kwa vijana, anapendwa, hanaga mbambamba, namwona anavyoipaisha UVCCM akishirikiana na CDE Kawaida.
UVCCM iwe na vijana wenye uwezo wa kukisemea chama, waweze kukitetea chama kwa kueleze utekelezaji wa ilani kwa mapana na marefu.
CCM IMESHEHENI MAJEMBE
DR SAMIA ANAUPIGA MWINGI.
Ndimi Comrade Ally Maftah
Mjumbe Mkutano Mkuu wa CCM & Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam
View: https://youtu.be/mvmssNFW6aU?feature=sharedView attachment 2953890View attachment 2953891View attachment 2953892View attachment 2953895
Chawa tu huna loloteCHAMA CHA MAPINDUZI KINA MIONDOKO MINGI KULINGANA NA INAVYOTAKIWA KUWA, CHAMA KIKONGWE NA KITADUMU

Huoni wanaitumia CCM kufanya ujangili kwa kutumia bendera kusafirisha wahamiaji haramuVijana wa ccm kwenye Moja na mbili inasikitisha sana kijana mwenzangu wewe njaaa isikufanye utumike kisiasa
Kimebeba majambazi tupuKwa mbeleko zilizopo Kwakweli kitaendelea kutamba. !
Ila mbeleko zikichoka basi itakuwa bye bye 👋. 😅😅🙏🙏
Huyu yupo tayari hata kuua wazazi wake apate pesa, mfumuko wa bei juu, kila kitu kimepanda matumizi makubwa ya serikali na ya hovyo, mtu mjinga kama huyu atashauri nini zaidi ya kuwaza uteuzi aibe kama wenzake.Kweli njaa mbaya sana. Maana inaweza hata kuuondoa kabisa utu na heshima ya mwanadamu! Sasa nimeelewa ni kwa nini hata Esau wa kwenye Biblia alikubali kumuachia Yakobo hadhi yake ya kuwa mtoto wa kwanza!!
Sababu ilikuwa ni njaa tu!
Angalia misafara na matumizi ya anasa ya serikali lakini huwezi kukuta kijana wa CCM anashauri wananchi wapunguziwe gharama za maisha, teuzi zimejaa upendeleo na ujangili wa mali za umma.Kidumu Kwa kutenda haki kwa wananchi sio kwa kupanga safu za wapiga deals halafu useme kidumu!!
Huduma za kijamii.bado changamoto haiwezekani miaka yote hii Bado maji ,afya,nishati Bado kizungumkuti!!Hilo ni tatizo ccm hatupo siriaz!!
Kama hauridhiki hamia Rwanda au Burundi tuache sisi tuishi kwa amani😃Kidumu Kwa kutenda haki kwa wananchi sio kwa kupanga safu za wapiga deals halafu useme kidumu!!
Huduma za kijamii.bado changamoto haiwezekani miaka yote hii Bado maji ,afya,nishati Bado kizungumkuti!!Hilo ni tatizo ccm hatupo siriaz!!
Oya netapusi pigana Kwanza Vita na Iran usitupangie vijana wa CCM Cha kufanyaAngalia misafara na matumizi ya anasa ya serikali lakini huwezi kukuta kijana wa CCM anashauri wananchi wapunguziwe gharama za maisha, teuzi zimejaa upendeleo na ujangili wa mali za umma.
Boss mbona umefuga wengi Sana? Unalalaje Sasa hapo?Chawa tu huna lolote
Ni wengi sana humu jukwaani kiranja wao ni Lucas mwashambwaBoss mbona umefuga wengi Sana? Unalalaje Sasa hapo?
Kipaji kingine Cha ujinga ndohiki Sasa... Unasifu kuchaguliwa mtu gani hasa?CHAMA CHA MAPINDUZI KINA MIONDOKO MINGI KULINGANA NA INAVYOTAKIWA KUWA, CHAMA KIKONGWE NA KITADUMU