Ushwari wa ndani ya CCM, unakuwaje ishu ya taifa? Hivi CCM inatakiwa kuwa na ushwari upi huo baada ya kumaliza uchaguzi juzi bila matatizo, hivi ushwari unatakiwa uwe wa aina gani zaidi ya wananchi kuweza kukutana chini ya chama chao na kufanya uchaguzi mzito wa kujiongoza as mujibu wa sheria ya nchi yetu?