Umeona kundi lako nilivyolifafanua hapo juu?
Marcopolo nimependa uchambuzi wako.Umewasaidia sana Chadema wanapaswa kukupongeza badala ya kutoa mipovu.Kuna mashabiki ambao ni matahira wamekariri siasa za vijembe tu utadhani waimba taarabu tena wengine ni wasomi inasikitisha sana.Ptuuuuuuuu
Mtundiko (thread hii) huu utafungwa haraka sana na aliyeutundika hapa atapigwa "ban" asionekane tena jamii forums. Mimi binafsi nimeshipigwa ban mara kadhaa humu, tena ban la kudumu, lakini bado nimo tuu humu. Kuna wimbo mmoja wa Bob Marley unaitwa "Bad Card". Katika bad card kuna mstari Bob Marley anasema "You a-go tired fe see me face, Can't get me out of the race, Oh, man you said I'm in your place, And then you draw bad cyard, A-make you draw bad cyard, And then you draw bad cyard"
Hiyo ndiyo Jamii Forums, usipokubaliana na uchadema, wanaona "you are in their place".
Kama alivyosema mtoa mada, ndani ya CHADEMA, "nepotism" ndiyo uendeshaji wa chama. Hata CCM nao pia ndiyo hivyo hivyo, ingawa wao kidogo wanachanganya nepotism na "cronyism".
Neno nepotism linatokana na neno la ki-Italiano "nipote". Neno nipote kwa kiingereza linakuwa "nephew". Sasa neno nepotism limeanza kutumika kutokana na tabia ya "papa" wa kanisa katoliki kuwapendelea watoto wao wa kuwazaa wenyewe na kuja kuwa ma-kardinali; na baadaye ma-kardinali hao huwa papa. Lakini kutokana na kwamba "papa" au "pope" hatakiwi kuwa na mtoto, basi watoto wa papa, (popes) walikuwa wakiitwa "nephews" au "nipote" badala ya "sons". Kwa mfano; Pope Callixtus III alimchagua "nephew" Rodrigo kuwa Kardinali. Baadaye Kardinali Rodrigo akaja kuwa papa Alexander VI. Mfumo huu ulishamiri sana ndani ya kanisa katoliki kwa miaka mia kadhaa mpaka alipokuja papa Innocent XII, akakataza tabia ya watu kuwachagua "nephews" kuwa kardinali kuanzia mwaka 1692.
Sasa Chadema kinachofanywa na CHADEMA siyo kitu kipya. CCM nao wanafanya hivyo hivyo. Ingawa kutokana na historia na uzee wa CCM, hakuna mkoa au kanda inayoweza kusema kwamba CCM ni mali yao.
Kuhusu CHADEMA,..... well, waingereza wanasema "the proof is in the pudding"- Godbless Lema. Godbless Lema hana hata sifa ya kuwa "class-monitor" wa darasa la nne wa shule ya msingi. Lakini yupo katika kitovu cha nguvu na utawala wa CHADEMA. Kwanini? kwa sababu - "one of the nephews".
Unajua kwanini nimekuita "mfuata upepo? Nibaada ya wewe mwenyewe kuji bambanua kua unakipenda CDM kwakua kinaongozwa na mkirsto mwenzio, na kukataa kukiunga mkono CUF kwamadai kuwa ni chama cha waislam ( kwa uwelewa wako wa kishabiki ) sasa inaonyesha siku ikitokea CDM ikiongozwa na Muslim utakikimbia, kwahiyo watu kama wewe munaitwa "bendera ufuata upepo" na ktk thread hii mpo katika kundi 1- (ii) au naongopa?
Hapa hakuna mwana CDM hata m-moja atakae kuja na jibu la maana juu ya hoja hii, bali wote watakuja na maswali tu kua mleta hoja kalipwa kiasigani na CCM. Kwamawazo yao mwana harakati wa upinzani lazima atokee CDM, hawawatu ni waajabu sana, kweli wengi wao ni vishuluala wa kisiasa anako pepea Dr slaa ndiko wanako fuata. Kwangu nibora shetani ulie mzoea kuliko malaika usio mjua.
Hapa hakuna mwana CDM hata m-moja atakae kuja na jibu la maana juu ya hoja hii, bali wote watakuja na maswali tu kua mleta hoja kalipwa kiasigani na CCM. Kwamawazo yao mwana harakati wa upinzani lazima atokee CDM, hawawatu ni waajabu sana, kweli wengi wao ni vishuluala wa kisiasa anako pepea Dr slaa ndiko wanako fuata. Kwangu nibora shetani ulie mzoea kuliko malaika usio mjua.
Unajua kwanini nimekuita "mfuata upepo? Nibaada ya wewe mwenyewe kuji bambanua kua unakipenda CDM kwakua kinaongozwa na mkirsto mwenzio, na kukataa kukiunga mkono CUF kwamadai kuwa ni chama cha waislam ( kwa uwelewa wako wa kishabiki ) sasa inaonyesha siku ikitokea CDM ikiongozwa na Muslim utakikimbia, kwahiyo watu kama wewe munaitwa "bendera ufuata upepo" na ktk thread hii mpo katika kundi 1- (ii) au naongopa?
Marcopolo nimependa uchambuzi wako.Umewasaidia sana Chadema wanapaswa kukupongeza badala ya kutoa mipovu.Kuna mashabiki ambao ni matahira wamekariri siasa za vijembe tu utadhani waimba taarabu tena wengine ni wasomi inasikitisha sana.Ptuuuuuuuu
Hili ni Jukwaa la Siasa mkuu Hiroshima, kama hauna hoja kaa kimya.
Kitendo cha wewe kuishabikia CHADEMA tayari umeshaonyesha upungufu wa akili kichwani mwako kwahiyo usitake kutudhihirishia upunguani wako.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums