Chama cha Kilaghai Tanzania...

Mbona CCM mnatumia gharama kubwa sana kuhangaika kuichafua CHADEMA badala ya kutekeleza ilani yenu ya uchaguzi ambayo tangu 2005 zaidi ya 95% ya ahadi hazijatekelezwa??!! ndio maana mliishia kuiba kura za uraisi 2010 otherwise ccm ingekuwa out!!! Ukiangalia wanachokifanya CCM na serikali yake kwa sasa ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CHADEMA kijanja janja japo na yenyewe wanafanya kisanii sana kiasi kwamba inapoteza ile mantiki yenyewe. mtakuja kustuka pamekucha na uchaguzi ujao huo hapo then mgombea wenu anaulizwa ehe tuambie zile ahadi za kisanii alizotoa mgombea wenu na ccm tangu 2005 ziko wapi na zimetekelezwaje??!! mtaishia tu kutoa macho kama mjusi alobanwa na mlango.niwakumbushe tuu kwamba watanganyika wa siku hizi sio sawa na waliopita na wanaweka kumbukumbu ya ahadi za kisanii mlizotoa!!!!
 
Nilivyoona kichwa cha thread hii nilifikiri unaongelea namna chama chako kilivyoshindwa kujivua gamba kumbe unaongelea jambo ambalo umeahidiwa ukisha lipost utatumiwa kifuta jasho. Nani kavunjwa moyo zaidi ya kiongozi wako anaetawala kwa kupita nchi za nje miezi tisa katika mwaka na kutembeza bakuli na hata alipoulizwa kwa nini nchi yake ni masikini bila aibu alijibu hajui!Nakushauri kagua nyumba yako kwanza kama wanao wamevaa nguo kabla ya kupayuka utaumbuka!
 
Nauliza ili swali kwa kuwa wabunge wote wa chadema hawajatekeleza ahadi zao majimboni......Pia uchaguzi ndani ya chama bado unapigwa danadana ili kulinda uongozi wa Mbowe usiondoke........Tuhuma nzito kama za matumizi ya ruzuku na nyinginezo nyeti uwa hazipewi majibu kabisa ila zinazuiwa kwa propaganda............Chama kuwa mikononi wa wachache na kutimua wanaohoji vitu vya msingi........kwa vitu kama hivi tunauhalali wa kuihusisha chadema na utapeli??
 

Tenants ajiulize kama yeye si bendera hufuata nape, atuambie kwa mini hatuna maji dar es salaam ili hali mito yote imefurika maji.
 
Tenants ajiulize kama yeye si bendera hufuata nape, atuambie kwa mini hatuna maji dar es salaam ili hali mito yote imefurika maji.

kibaraka kama huyo atajibu nini mkuu,zaidi ya kuwaza tumbo lake tu!
 
Jana baraza la mawaziri Kivuli la chadema na CCM B limetangazwa!
Huu nao ni ulaghai wa Chadema
 
Jana baraza la mawaziri Kivuli la chadema na CCM B limetangazwa!
Huu nao ni ulaghai wa Chadema

haya umesikika,leo nusu siku kachukue buk 7 yako mapema kabla nape hajafunga ofisi
 
Mhuni ni mtu asiye na tabia ya kistaarabu kama: ugomvi, matusi, fujo, vuruguvurugu, n.k. Ukitizama namna wanavyoongea kwenye mikutano mbalimbali, utawajua tu. Mwanachadema anatambulika tu kwa mwonekano huhitaji kumwuliza kama yy ni mfuasi wa chadema.

Wamekaa kisharishari wana uchu kama makondakta wanaotaka kujaza magari yao. Padre au mchungaji akisimama na mpiga debe wa stand huhitaji kuwauliza, utawatambua tu kwa matendo yao na hata ongea yao. Wapo walioathiriwa na madaraka ya ubunge walioupata kwa bahati mbaya hivyo wanahaha maana wasiporudi hawana pa kujiuza, hata uenyekiti wa kitongoji hawapati.

Wapo wengi wanaohaha sana kama HALIMA MDEE, na wengineo maana hawana namba tena, wamejifunza kutoka kwa babu yao SLAA athari za kutokuchaguliwa. dj MBOWE ni mhuni aliyekubuu hata asipochaguliwa atatumia ubabe wake kuishi na madanguro yake yanamsaidia sana.

Wabunge wengine wenye hali mbaya na wanapambana kwa HALI na MALI ili WAONEKANE kwa WANANCHI ni LISSU, LEMA, SUGU, MSIGWA, n.k lakini wangejipanga tu kurudi kwenye taaluma zao maana WANANCHI WAMEJIFUNZA MADHARA YA KU~VOTE WAHUNI.

Wabunge wastaarabu wa chadema ninaowafahamu wapo watatu: Ndesamburo, Selasini, Zitto hata Mnyika. Hao wengine OVYO TU! BAVICHA OVYO ZAIDI!0

hahaha.....acheni uhuni hizi threads hazishabihiani kabisd kwanini iletwe huku?
 
mkuu wanakugusa mahali nini naona unatumia nguvu nyingi
 
Lugha yao inaeleweka kirahisi!!!!!
Macho yao.yanaona miiba inayochoma miguu ya wananchi!!!!!!
Sauti zao zinaweza kutikisa ngoma.za masikio ya watawala!!!!!

Kwa hayo tu Mungu awape heri sana!!!!!
 
Sadifa juma,lusinde ndo wastarabu waliobaki ccm
nb prof kapuya
 
...yaaa huyu jamaa moto wa chadema umesha mlamba naona hatulii sikuizi,teh teh tulia bwamdogo dawa iingie uzuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…