maswimanga
Senior Member
- Apr 15, 2013
- 159
- 26
Swala la nepotism liko kila mahali. Hata wewe leo hii ukipewa cheo chochote iwe ni CCM,CHADEMA au Serikali ya CCM lazima uta-practice the same. That's nature. Mbona Watanzania hawasemi CCM ni chama cha KIDINI,KIDUGU au KIKABILA? Vigogo karibu wote wa CCM wamejaza ndugu zao kwenye chama, anza kwa Mama Kiwete,Riz,Kiwete, Dr.Hussein Mwinyi,Nepi Mosses Nnauye,Vita Kawawa,Lusinde,Wassira, Warioba,na wengineo.
Kikwete amejitahidi sana kuingiza Waislamu kwenye Serikali yake. Mbona Watanzania hawapigi kelele kuwa kuna udini na ukabila ndani ya CCM na Serikali yake???
CCM acheni propaganda za kishenzi.
Kwamba ZeMarcopolo haoni kuwa CCM ni chama cha kifisadi na kilaghai kilichotumbukiza umma wa Watanzania kwenye lindi la umasikini kwa miaka 50 hii, ni jambo la kushangaza! Kwamba haoni kuwa kwa miaka hii 8 ya JK amewalaghai watz kuwa watakuwa na maisha bora kwa kila mmoja wao, ni jambo la kustaajabisha. Kwamba hata anadiriki kuwanyooshea kidole CDM ni kituko! Kweli Nyani haoni kundule!
CHADEMA wanasema kuwa CCM ni chama cha MIZIGO, Chadema hupokea wanachama walitimuliwa au kuondoka CCM, kama chadema wanapokea hao wanachama maana yake ni kwamba hata CHADEMA ni CHAMA CHA MIZIGO.
Nataka kuongea hawa vijana wa ufipa, vijana waliopeleka matumaini yao katika vya upinzani bila kujishughulisha, vijana wanaotaka kuhalalisha gongo kupitia babu yao Bwana Slaa.
Mtu mwenye akili timamu na busara zake hawezi akasimama mahali akasema chadema ni chama makini, HAKUNA CHAMA MAKINI ILA KUNA WATU MAKINI.
Chama chochote cha kisiasa kinaundwa na binadamu, hurka ya binadam ni ubinafsi tamaa na chuki. Wenye tamaa hata chadema wapo, wenye chuki hata chadema wapo na wenye kujilimbikizia mali hata chadema pia wapo. Sasa utasemaje kuwa ni chama makini? Hapa nataka kupingana na vijana wa BAVICHA kwamba chama chao hakina mapungufu yoyote, kwamba maamuzi ya chama chao huwa hayakosewi. Sijui maamuzi yao hufanywa na malaika?
Inawezekanaje chama kisiwe na mapungufu!? jamii zetu zina wezi, vibaka, wachawi na wavivu mnataka kusema chama chenu hakina watu wa namna hiyo? Imewezekanaje? lakini hawa vijana wa mbowe wamewekeza matumaini ya maisha yao kwa chadema bila kutumia utashi wao binafsi.
Kama CCM ni ukoo wa kuanzia babu mpaka mjukuu na CHADEMA wanapokea wanachama wanaotoka CCM basi hata CHADEMA ni ukoo wa PANYA.
Mdau si vyema kuzungumzia vitu usivyovijua ili mradi tu uonekane umeanzisha maada, hizo unazoleta ni prpaganda tu, na si vyema kurahisisha mambo kiasi hicho. Hii tabia ya kutoa maamuzi ya kuongea kwa kukurupuka itatugharimu watanzania jana mh. Lukuvi alikurupuka na sasa ameharibu hata uchunguzi kwa kuwa tayari majibu ya serikali yalitosha kuhitimisha uchunguzi tayari yanamuelekeo fulani wa kushutumu upande fulani kwa wenye akili tunajua nini kinachoendelea, wewe ccm hauijui tuulize sisi ndugu. watanzania tuache ulaghai dhambi ya uongo ni mbaya sana, tafakari sana haya vinginevyo tutazaa taifa la watu wasiofikiri.:shock:
nenda basi shule kdogo ujue unayoyasema,,, kama hamna chama makini kuna watu makini na chama kinaundwa na watu,,, huoni utakua na matatizo ya kufikiria? Mtu akihama ccm kwenda CDM anaacha yale ya ccm huko huko anaenda kukuta mambo mapya huko,,, kama umzigo anao anauacha huko hko,,,
CHADEMA wanasema kuwa CCM ni chama cha MIZIGO, Chadema hupokea wanachama walitimuliwa au kuondoka CCM, kama chadema wanapokea hao wanachama maana yake ni kwamba hata CHADEMA ni CHAMA CHA MIZIGO.
Nataka kuongea hawa vijana wa ufipa, vijana waliopeleka matumaini yao katika vya upinzani bila kujishughulisha, vijana wanaotaka kuhalalisha gongo kupitia babu yao Bwana Slaa.
Mtu mwenye akili timamu na busara zake hawezi akasimama mahali akasema chadema ni chama makini, HAKUNA CHAMA MAKINI ILA KUNA WATU MAKINI.
Chama chochote cha kisiasa kinaundwa na binadamu, hurka ya binadam ni ubinafsi tamaa na chuki. Wenye tamaa hata chadema wapo, wenye chuki hata chadema wapo na wenye kujilimbikizia mali hata chadema pia wapo. Sasa utasemaje kuwa ni chama makini? Hapa nataka kupingana na vijana wa BAVICHA kwamba chama chao hakina mapungufu yoyote, kwamba maamuzi ya chama chao huwa hayakosewi. Sijui maamuzi yao hufanywa na malaika?
Inawezekanaje chama kisiwe na mapungufu!? jamii zetu zina wezi, vibaka, wachawi na wavivu mnataka kusema chama chenu hakina watu wa namna hiyo? Imewezekanaje? lakini hawa vijana wa mbowe wamewekeza matumaini ya maisha yao kwa chadema bila kutumia utashi wao binafsi.
Kama CCM ni ukoo wa kuanzia babu mpaka mjukuu na CHADEMA wanapokea wanachama wanaotoka CCM basi hata CHADEMA ni ukoo wa PANYA.
Kweli njaa mbaya sana
Kweli njaa mbaya sana
Wale wale fuata upepo
Toa hoja kinzani na sio kashfa