Chama cha Hanasa

Chama cha Hanasa

egentle

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
808
Reaction score
392
kiukweli hiki ni chama cha hanasa na starehe, chenye kunufaisha wachache sana. Hakuna staha wala heshima kwa viongozi wala wanachama wao.
 
Attachments

  • 1418064502378.jpg
    1418064502378.jpg
    37.8 KB · Views: 470
  • 1418064542292.jpg
    1418064542292.jpg
    30.1 KB · Views: 416
  • 1418064604326.jpg
    1418064604326.jpg
    62.1 KB · Views: 403
kiukweli hiki ni chama cha hanasa na starehe, chenye kunufaisha wachache sana. Hakuna staha wala heshima kwa viongozi wala wanachama wao.
Hiyo picha ya pili kutoka kulia inanikumbusha msemo usemao ''njaa mbaya sana''
Huyo mzee aliyetangulia mbele kiumri ni mkubwa kuliko huyo aliyempigia magoti,
lakini bwana njaa isikie kwa watu,ikikufika lazima uuze utu wako ili ushibe.
 
Heshima madaraka
 
Mambo ya ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe!!!
 
Hivi hii inakuwaje wanaume tena wazee kabisa wanawapigia wanawake.
Kingunge nae bado wamo, nasikia kwa dogo dogo hajambo
 
Heshima madaraka
Kama heshima madaraka mbona wananchi wa mkoa wa mbeya waliwahi kuupiga mawe msafara wa rais
kuna mwenye madaraka makubwa kuliko rais hapa nchini?
mi naona sheria inayotumika ni heshima ni kwa aliye na mkate mkononi.
 
Hiyo picha ya pili kutoka kulia inanikumbusha msemo usemao ''njaa mbaya sana''
Huyo mzee aliyetangulia mbele kiumri ni mkubwa kuliko huyo aliyempigia magoti,
lakini bwana njaa isikie kwa watu,ikikufika lazima uuze utu wako ili ushibe.

Mzee kawa Essau kauza ukubwa kwa sababu a njaa
 
Back
Top Bottom