Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..
Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..
Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa
Waziri Mkuu wa Uingereza wakati anatoa kauli hii, alikuwa anaongea akiwa ni kiongozi mkuu wa Uingereza; hivyo kauli yake ilikuwa inaiwakirisha Uingereza, wala si chama chake cha Conservative. Wanachama wa Jumuia ya madola ni Nchi (Serikali), si Vyama. Conservative kama chama hakijatoa hiyo kauli, bali imetolewa na serikali ya Uingereza; ndiyo maana hata Balozi anayeiwakilisha Uingereza hapa Tanzania,ameendelea kuitilia mkazo kauli ya nchi yake. Chadema kama chama hawana sababu ya kutoa msimamo wao kwa kauli ya serikali ya Uingereza; Chadema wangetoa msimamo wao kama kauli hiyo ingetolewa na chama cha Conservative chenyewe!! Hivyo kuwataka Chadema watowe msimamo wao ni kuwaonea.
Wakati mnagombania suti mlikuwa mnafikiri zinatoka wapi ngoja wawahemee kichogoni na bado masharti magumu yanakuja ukitaka kwenda kutembeza bakuli sharti uvae kanzu bila bukta ndani.
Hili la ushoga ni cheap political agenda furthered by ****** like membe. Kwanza kajichangaja eti halikuwa limezungumzwa ktk minisiterial levels mara kulikuwa na juhudi za Cameroon kulipenyeza, what's the fuss?
Take it or leave it, PERIOD.
Sawa hapa nyumbani hii ni desturi mpya na of coz mbaya, nakubali. Lakini ukitembea nchi za wenzetu huo kwao ndo utamaduni wao, so what? Twende kwenye hoja za msingi sio cheap and baseless grandios......things like:
- Kwa nini Tz ni maskini licha ya rasimali zote tulizonazo
- Kwa nini Utawala bora ni hadithi tuu, ndio chanzo cha ufisadi, uzembe na kukithiri kwa rushwa
- Iko wapi Katiba Mpya ambayo inatokana na wananchi na yenye kumilikiwa nao?
- Kwa nini vilaza kama Membe, Ngeleja nk ni mawaziri mpaka leo?
- Kwa nini hakuna la maana la kuijuvnia ktk miaka 50 ya uhuru?
nk, nk
Mods: plz do justice by purge this thread.
Wakati mnagombania suti mlikuwa mnafikiri zinatoka wapi ngoja wawahemee kichogoni na bado masharti magumu yanakuja ukitaka kwenda kutembeza bakuli sharti uvae kanzu bila bukta ndani.
Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Mkuu, fuatilia siasa za Uingereza ndio useme, sera za kukubali mashoga ni sera za Conservative..
Chama cha Labour kinapingana na sera za mashoga..
Hakuna sehemu yoyote kwenye katiba ya Uingereza mashoga wanaruhusiwa
Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Wanabodi.
Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kinatakiwa kiweke wazi msamamo kwa watanzania mahusiano yao na chama cha Conservative cha Uingereza..
Conservative ni wadhili wakubwa wa Chadema wanawapa misaada mingi sana Chadema.
Tunakumbuka 2005 na 2010 Chadema walipokea misaada mingi kutoka Conservative, Pikipiki, Magari, Baiskeli, pamoja na pesa..
Waziri mkuu wa Uingereza Davidi Cameron, kutoka chama cha Conservative, alitoa kauli kwenye mkutano wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola (CHOGM) uliofanyika Perth, Australia..
Nchi zinazoomba misaada kwao zitambue haki za mashoga kama moja ya masharti ya kupewa misaada hiyo..
Tunaomba viongozi wa Chadema walitolee maelezo jambo hili sababu kati ya wanaopokea misaada Chadema nao inapokea
Uingereza ina Katiba? uliishawahi iona?
Vipi mnaogopa kutoa msimamo? (au hakuna msimamo?
Kambi ya upinzani Tanzania ina msimamo gani?
Unajua kwa watu wenye siasa za ushabiki kama kina ritz wepesi sana kusahau akisema Kikwete anakuwa anawasemea watanzania waliomchagua kwa kura nyingi akisema Cameron anakisemea chama cheap politics kwa kweli.Waziri Mkuu wa Uingereza wakati anatoa kauli hii, alikuwa anaongea akiwa ni kiongozi mkuu wa Uingereza; hivyo kauli yake ilikuwa inaiwakirisha Uingereza, wala si chama chake cha Conservative. Wanachama wa Jumuia ya madola ni Nchi (Serikali), si Vyama. Conservative kama chama hakijatoa hiyo kauli, bali imetolewa na serikali ya Uingereza; ndiyo maana hata Balozi anayeiwakilisha Uingereza hapa Tanzania,ameendelea kuitilia mkazo kauli ya nchi yake. Chadema kama chama hawana sababu ya kutoa msimamo wao kwa kauli ya serikali ya Uingereza; Chadema wangetoa msimamo wao kama kauli hiyo ingetolewa na chama cha Conservative chenyewe!! Hivyo kuwataka Chadema watowe msimamo wao ni kuwaonea.
hapo ndo mnapo onekana mazuzu... Mwenzio kajibu hoja kwa mtiririko yakinifu... Wewe unakuja ooo kambi ya upinzan...! Nape fanya udahil upya wa vijana wako, wanatia aibu humu ndan...
Hii ni nini au unaropoka tuUingereza ina Katiba? uliishawahi iona?