Kaptula la Marx
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 981
- 449
- Thread starter
- #41
tutaanza kutilia mashaka hata elimu yako..
kwani hii ndo itakuwa fundrising yao ya kwanza?? kwani hawakuwah kufanya fund rising hapo kabla??
Sio fundraising ya kwanza. Lkn hii inafanyika baada ya deal kubuma kule CCM. Soma andiko vzr mkuu. Ilikuwa itolewe milioni 800 awamu ya kwanza; na milioni 800 iliyobaki awamu ya pili. Sasa hivi nimeshapata kiasi ambacho wamepewa mpaka sasa. Nitakuja na bandiko lake kabisa tofauti na hili. Kuna mambo mengine ambayo tunaendelea kuyapanga kwenye vikao leo hii nitawajuza. Stay tuned.
Kaptula La Marx (Now Jikoni ndani ya ACT-WAZALENDO & CCM kwa kazi maalum)