Chama cha ACT-Wazalendo taabani fedha za kampeni

Chama cha ACT-Wazalendo taabani fedha za kampeni

Inashangaza kufulia wakati mna wafadhili.
Hamna jipya ndio maana wamewatosa,mkipata hata wabunge wa5 nitafute unikumbushe tamko hili.

Siyo kwamba hawapati hata diwani,hata msaliti mwenyewe harudi bungeni???
 
Mleta mada kuishiwa kwa act kusikupe taabu hata vyama yva ccm na cdm wanaishiwa pia japo vinapata ruzuku kwa miaka mingi sembuse act ambayo haijawahi onja ruzuku.
 
mbowe na lowa sasa walikuwa wanaomba muwachangie ilihali chama kinapewa ruzuku tofauti na act?

Tulia dawa ikuingue kuanzia okt mosi chopa 5 zitakua angani zikishambulia pande zote kuizika rasmi fisiem na tunafinalize okt 25✌🏻️✌🏻✌🏻
 
Sasa si afadhali act wanacampeni mpaka wanaishiwa, halafu wanafanya mikakati ya kupata hela zaidi, je nyie mliouzwa kwa bei ya hasara ( jumla ). Sasa bendera yenu inapeperushwa na jamaa kutoka chama jirani. 😛 laana yenu ni maradufu.

Haya ndio maajabu, mtoa mada kajitambulisha kuwa yeye yuko ACT na CCM pia kwa malengo maalum. Lakini wewe unataka kumuhusisha na kitu kingine ambacho yeye haja kiri hivyo.
 
Wapi MOTOCHINI na mwekundu wakachangie vibaraka wenzao?
Jahazi linazama hivyo!

Kuna issue kasema Magufuli kuwa kuna watu mchana wako CCM usiku wapinzani hivyo hana imani kabisa na baadhi ya watu. Sasa kuna upande wa pili mchana ACT na Usiku CCM, Hapo kuchangia inakuwa ngumu kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Mwaka huu uchaguzi ni ccm na ukawa hawa wengine wanapoteza muda tu na kama act pesa imekata watulie tu na waendelee kura stori wasijihangaishe
Watazunguka wee halafu mwisho wa siku wanatoka kapa.
 
Kwani Serikali hua haitoi kiasi chochote kwa vyama vya Siasa kwa ajili ya Kampeni?
 
Hata ccm tayari bajeti yao imeshapasuka nao wanatazama namna ya kuongeza pesa maana wanakimbizwa na ukawa kupita maelezo, na magufuli akiwa tabora na baadhi ya maeneo ameomba wananchi wasi mwadhibu baada ya kuona watu wamejaa uwanjani lakini hawana mwitikio.

Baada ya kuona hivyo yeye anazidi kununua wasanii ili kuwaburudisha watu bila kiingilio ili wampende yeye ingawa na hili limeonyesha kufeli.
Ukawa inawatia ccm gharama kubwa sana na magufuli alishajikatia tamaa kitambo sana kwa sasa kaamua kujipigia push up kama bodigadi wa LOWASA.

Ewe LOWASA uwahurumie ccm
 
Mleta mada kuishiwa kwa act kusikupe taabu hata vyama yva ccm na cdm wanaishiwa pia japo vinapata ruzuku kwa miaka mingi sembuse act ambayo haijawahi onja ruzuku.

Tatizo sio kuishiwa, tatizo ACT ni genge la wahuni & matapeli. Maana walikuwa na makubaliano ya kupewa fedha na CCM kwa kazi maalum. Leo tu tuna vikao vinaendelea huku ACT. Nitawajuza mambo mengi tu inaonekana hamuijui ACT vzr
 
Jamani fund raising ni kitu cha kawaida kwa kuwa si jinai! Nawe kama una chama chako hebu tuite tukuchangie
 
Jamani fund raising ni kitu cha kawaida kwa kuwa si jinai! Nawe kama una chama chako hebu tuite tukuchangie

Hata mimi sina shida yoyote na fundraising. Na mimi ni moja ya watu nilioshauri wafanye hivyo. Tatizo lililoko ni uhuni na utapeli wa hiki chama. Mchana ni chama cha upinzani, uck ni tawi la CCM. Hii fundraising ilitakiwa waifanye tangu mwanzo lkn hii inafanyika baada ya deal kubuma kule CCM. Chama gani cha upinzani kinaweza kupewa fedha na chama tawala ili kiweze kuwafurusha watawala madarakani? Simple question like that
 
kwanza usituletee habar za act kwa wakat huu mana kwasasa hawana impact yoyote kubwa ktk mabadiliko ya kuitoa ccm madarakani......tafadhali usidiverge attention zetu kwa kuanza kuijadili masuala ya act kwasasa....waache na fundrising yao kinachokukereketa ni nini??
 
Akili NI mwele/
Kulikuwa NA ulazima gani WA kumsimamisha mgombea URAIS?
 
kwanza usituletee habar za act kwa wakat huu mana kwasasa hawana impact yoyote kubwa ktk mabadiliko ya kuitoa ccm madarakani......tafadhali usidiverge attention zetu kwa kuanza kuijadili masuala ya act kwasasa....waache na fundrising yao kinachokukereketa ni nini??

Hakuna kinachonikereketa mkuu. Lakini ni vizuri wahuni & matapeli wawekwe wazi. Mimi pia nasupport UKAWA 100%. Sasa hivi niko ACT & CCM kwa kazi maalum. Lakini ni UKAWA pure. Wala usihofu mkuu labda kama wewe ni ACT au CCM hapa ndio penyewe. Umekutana na mshenga mwenyewe sasa
 
Hata mimi sina shida yoyote na fundraising. Na mimi ni moja ya watu nilioshauri wafanye hivyo. Tatizo lililoko ni uhuni na utapeli wa hiki chama. Mchana ni chama cha upinzani, uck ni tawi la CCM. Hii fundraising ilitakiwa waifanye tangu mwanzo lkn hii inafanyika baada ya deal kubuma kule CCM. Chama gani cha upinzani kinaweza kupewa fedha na chama tawala ili kiweze kuwafurusha watawala madarakani? Simple question like that

tutaanza kutilia mashaka hata elimu yako..
kwani hii ndo itakuwa fundrising yao ya kwanza?? kwani hawakuwah kufanya fund rising hapo kabla??
 
Back
Top Bottom