Chama cha ACT-Tanzania kuongoza dola 2015

Chama cha ACT-Tanzania kuongoza dola 2015

Mwl.Kaijage

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
279
Reaction score
64
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania.

ACT-Tanzania kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.

ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Ndoto za alinacha...ila ACT ndio magamba so your right!
 
Hahahahahahaha... Mbeya kimebuma ndio kinaweza kuchukuwa nch?...labla Ujiji...
 
Ina maana kuna chama kipya kimekuja leo? coz mm najua ACT ni kijitawi kitengo cha Propaganda pale ofisi za Lumumba. vipi Kaijage ule Ugomvi wako na wenzako kugombania mtaji wa dagaaa mliopewa ili kujiunga na Act umekwisha? maana Act wenzako wanakutuhumu hutoi Marejesho ya mzigo. ha ha ha ha ha Duniani kuna Vituko na Vijituko.
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania. ACT kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.

hivi mlishapata usajili au ndiyo chama chenu kiemandikwa kwa chaki?
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania. ACT kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Nshomile unatutia aibu nshomile wenzako. Hata kama ni mpenzi wa ACT, tafakari ukweli wa maandishi yako mbele ya wasomi wenzako wataupokeaje.
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania. ACT kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Siku hizi umeendelea mpaka umefika huku, nilikuwa naona unahangaika na vi-group kule Facebook kukinadi hiki kitawi cha CCM. Hongera sana, hebu tutajie hao wachezaji makini waliopo kwny hicho kijitawi cha CCM!
 
Ndoto za alinacha.Mchukueni Zito mapema ili mkijenge kabla ya 2015
 
Chama Cha Mamluki Toka Ccm Soon Kitakufa Kifo Cha Mende! NAONA MLETAMADA KAPANDWA MARUHANI YA LUMUMBA
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania. ACT kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Mkuu MWL WA ACT, itabidi nicheke mpaka nitakapoitwa kupata chakula ya jioni! Jamani nyie watu jaribu kutumia vichwa vyenu badala ya kutumia nywele kufikiri! Mala watu wanasema kila mtu hapa Tanzania anaweza kuwa Rais wa nchi, sasa na hili ni jipya tena kwamba chama cha ACT (chenye wabunge wa mahakamani na wale wa mchepuko jumla kama 3 hivi) eti hapo mwaka 2015 kinachukoa DOLA! Hee bwana mbona haya makubwa! Kwa ushauri wa bure: Wewe MWL tambua kuleta thread kama hii hapa unakidhalarisha hicho chama chako. Wasiliana na wenye chama kabla ya kukiaibisha kiasi HIKI! Na Mh. Shibuda ataanza kusema chama chake kipya kitachukua dola .............!
 
Haya watabiri mazwazwa ila mziki wa ACT mtaufahamu vizuri ni hizo saccos zenu za kichaga tutaona mwisho wake upi?
 
dola ya uyudanism ni yao
Act makubwa jinga hoyee
Act wasaliti mpo tupo lumumba
 
Chama kipya cha ACT-TANZANIA ndicho chama ambacho kimebaki tumaini la Tanzania. ACT kitashinda kwa kishindo chaguzi zijazo kuanzia serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu 2015,ACT TANZANIA ndio timu ya Taifa iliyosheheni wachezaji mahiri kutoka vilabu vyote nchini.
ACT-TANZANIA TAIFA KWANZA
TAFAKARI CHUKUA HATUA.

ACT ni ndio timu ya Rede ya taifa? Kocha wenu ni nani? Mnacheza ligi daraja la ngapi?
 
Back
Top Bottom