Hahaha umejua kunichekesha yaani unakandamiza pale kwenye rafiki!!!!Hahaaa. Kwani rafiki hawezi kumjali rafiki yake.
Huyo ni rafiki tu Mkuu.
Hahaha sasa mi ndiyo rafiki umenichagulia nchi tata kweli kweli, lakini Davet alikuchagulia nchi nzuri nzuri hebu kamshukuru pm.
Hahaha umejua kunichekesha yaani unakandamiza pale kwenye rafiki!!!!
Anyway friendzone inaboa, mtoe pande hiyo jamaa mfikishe kwenye endzone.
Duuh! Jamaani Castr.Hahaha sasa mi ndiyo rafiki umenichagulia nchi tata kweli kweli, lakini Davet alikuchagulia nchi nzuri nzuri hebu kamshukuru pm.
Hahaha sasa mi ndiyo rafiki umenichagulia nchi tata kweli kweli, lakini Davet alikuchagulia nchi nzuri nzuri hebu kamshukuru pm.

bado naload unachojaribu kukitafutaHahaha uanaume ni kusaidiana nataka nikutoe kwenye friendzonebado naload unachojaribu kukitafuta
Hahaha uanaume ni kusaidiana nataka nikutoe kwenye friendzone


Aisee!! Naona unajaribu kunipigia pande la hatari