Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,431
- 4,438
Ingia kwenye challenge mzee miaka kumi na tano sio mingi.Kila la heri
Bora nilime mitiIngia kwenye challenge mzee miaka kumi na tano sio mingi.
Mzee weka pesa yako kama unakunywa laki kwa siku let say. Weka nusu au robo huko UTT.Ipo siku itakusave hutaamini.2040 sio mbali sana.Maisha ni sasa , yani unapoishi leo ndio maisha hayo , kula bata kila unapojisikia kuishi ni sasa.
Miti unasubir muda gani ili imature upate kuvuna ukipiga hesabu its almost the same or less.Bora nilime miti
Kuweka akiba ni muhimu ,ila bata nitakula mda wowote bwashee , mpaka siku nikipumulia mipira ndio itakua mwisho labdaMzee weka pesa yako kama unakuchwa laki kwa siku let say. Weka nusu au robo huko UTT.Ipo siku itakusave hutaamini.2040 sio mbali sana.
#Muda ni sasa.
Kupanga ni kuchagua ila nakushauri kama kweli unapiga tungi daily😀😀😀 kuna mfuko wa UTT unaitwa wekeza maisha hapo wanatoa na bima ya maisha.Ikikupendeza weka akiba humo huwenda muda unahitaji FIGO MPYA hiyo pesa itakusavu🤝Kuweka akiba ni muhimu ,ila bata nitakula mda wowote bwashee , mpaka siku nikipumulia ndio itakua mwisho labda
Kwamba kula bata nikupiga tu tungi?Kupanga ni kuchagua ila nakushauri kama kweli unapiga tungi daily😀😀😀 kuna mfuko wa UTT unaitwa wekeza maisha hapo wanatoa na bima ya maisha.Ikikupendeza weka akiba humo huwenda muda unahitaji FIGO MPYA hiyo pesa itakusavu🤝
naonaga humu jf wewe unatambulika kama cha pombe.Kwamba kula bata nikupiga tu tungi?
Umenchekesha sanaBora nilime miti
Jidanganyenaonaga humu jf wewe unatambulika kama cha pombe.
Nililimamiti 30 yrs ago na sasa nikitakakuuza ni 8,000/=. Naamini ni upuuzi mtupu kuinvest katika kilimo cha mitiMiti unasubir muda gani ili imature upate kuvuna ukipiga hesabu its almost the same or less.
Inategemea bank umefungua account Gani, sio kila account haizai..,nadhani na ww unalijua Hilo.Faida ya UTT pesa yako inazaa.
Benki pesa yako haizai.
Faida ya UTT pesa haina makato.
Benki pesa ina katwa charges za mwezi na kila ukitoa.
Faida ya UTT pesa yako ukihitaji unapata ndani ya siku 3 kwa LIQUID FUND na kwa BOND FUND unapata ndani ya siku 10.
Benki pesa unapata muda wowote ila kuna kiasi huwezi kutoa mpaka maelezo ya kueleweka.
Faida za UTT pesa utatoa hata yote hawana kikwazo na UTAAMUA MWENYEWE WAKUWEKEE KATIKA ACC. GANI YA BENKI.
FAIDA YA UTT sio rahisi kutoatoa pesa hovyo kwasababu pesa inatolewa tu ndani ya siku za kazi.
Benki ni rahisi kutoatoa pesa hovyo kwa wale wasio na nidhamu ya pesa.
#UTT ndio mkombozi kwa wachumi na wajanja.
Inaruhusiwa kufungua mifuko zaidi ya mmoja?Faida ya UTT pesa yako inazaa.
Benki pesa yako haizai.
Faida ya UTT pesa haina makato.
Benki pesa ina katwa charges za mwezi na kila ukitoa.
Faida ya UTT pesa yako ukihitaji unapata ndani ya siku 3 kwa LIQUID FUND na kwa BOND FUND unapata ndani ya siku 10.
Benki pesa unapata muda wowote ila kuna kiasi huwezi kutoa mpaka maelezo ya kueleweka.
Faida za UTT pesa utatoa hata yote hawana kikwazo na UTAAMUA MWENYEWE WAKUWEKEE KATIKA ACC. GANI YA BENKI.
FAIDA YA UTT sio rahisi kutoatoa pesa hovyo kwasababu pesa inatolewa tu ndani ya siku za kazi.
Benki ni rahisi kutoatoa pesa hovyo kwa wale wasio na nidhamu ya pesa.
#UTT ndio mkombozi kwa wachumi na wajanja.
Una uhakika kwamba utafika hiyo 2040?Mzee weka pesa yako kama unakunywa laki kwa siku let say. Weka nusu au robo huko UTT.Ipo siku itakusave hutaamini.2040 sio mbali sana.
#Muda ni sasa.