MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,681
- 1,617
Uganda 7 - Jibuti 0
Zanzibar 2- Sudan 2
Rwanda 2- Eretria 1
Zanzibar 2- Sudan 2
Rwanda 2- Eretria 1
Uganda 7 - Jibuti 0
Zanzibar 2- Sudan 2
Rwanda 2- Eretria 1
Jibuti wachovu siku zote. Zanzibar Stars ni wazuri sana this year-kwani wametoka 2-2 na Sudan (Sudan ndo wanaenda Ghana Jan) tuwape moyo washinde wasonge mbele!
Taifa Stars coach Marcio Maximo told BBC Sport that reaching the quarter-finals was the main objective.
...nadhani malengo ya Maximo ni sawa, huwezi kukwea mti kwa kuanzia katikati lazima uanzie chini. We have to accept the fact that kiwango chetu kwa nchi za E&C Africa bado kiko chini (saana). Tusiwe wagumu kukubali ukweli.Tumeliwa tena kwa mara nyingine hebu angalia main objective ya Maximo...
...nadhani malengo ya Maximo ni sawa, huwezi kukwea mti kwa kuanzia katikati lazima uanzie chini. We have to accept the fact that kiwango chetu kwa nchi za E&C Africa bado kiko chini (saana). Tusiwe wagumu kukubali ukweli.
...teh teh teh, mkuu I salute you, lakini pengine sijakupata vizuri. Unamaanisha mashindano ya Challenge ambayo Tanzania ilishiriki kabla ya ujio wa Mtakatifu Ndoranga? Kumbukumbu zinaonyesha (correct me if I'm wrong) Tanzania imewahi kuchukua hili kombe mwaka 1974 na 1994, wakati ambao kabla ya kipyenga kupulizwa wachezaji walikuwa wakinywa maji ya bendara. Baada ya Mtakatifu kuivuruga FAT, mafanikio yoyote, ikiwemo kufika nusu-fainali mwaka 2002 (tena kwetu) na robo-fainali mwaka 1999, yalikuwa ya kimungu mungu.Kwani tangu lini tumeshindwa kuchukua kombe la challenge cup? Tumechukua kikombe bila kuwa na makocha kutoka nje ya Tanzania...
mjengwa blog said:Kili Stars Yatoka Sare Na Burundi
Ni katika mechi ya kuwania kushika usukani wa kundi. Timu zote mbili zimetoka uwanjani bila kufungana. Stars ndio walikuwa wanahitaji ushindi ili waongoze kundi. Inasemwa kuwa washabiki wa soka bado hawaridhiki na kiwango kinachoonyeshwa na Stars. Na kwamba hata leo kumesikika kelele za kuzomea pamoja na serikali kuonya juu ya tabia hiyo ya washabiki wa hapa nyumbani.