Vipi angekuwa ndio baba yako mzazi, kaka yako, mjomba wako! Ungewaambia msibani kuwa nyie Askari mnazidi sana??
Mazingira ya ajali yanafikirisha kidogo, jamaa kumfuata Askari na gari changamoto sana, pole ndg yetu dereva na familia yako, na familia ya Askari wetu...