Nimeibiwa mara tatu sasa pale chalinze, nipo kwenye bus nanunua kitu nje jamaa anajikanyaga kutafuta chenji mfukoni mpaka bus inaondoka, anajifanya kukimbiza bus kumbe ananizuga. Nachojiuliza hivi nyie mnajua Kikwete anatokea challinze?
na wewe kaka utazani umetoka ngudu leo? wenzako uwaga wanachukua chenji na bidhaa kwanza alafu ndio wanalipa mzeee, so kikwete katoka chalinze kunausiana nini?
Onyesha pesa uliyonayo kwa muuzaji dirishani. Hakikisha anakupa chenji na bidhaa kwanza ndipo unampa pesa yako. Hii ni nzuri kwani ni rahisi kwa yeye kukufuatilia wewe kuliko vice versa.
yani huo wizi una muda mrefu,paogope pale,niliwahi kuibiwa hvyo alafu nilikuwa nimechalala vibaya,mbona nilimwaga matusi wacha abiria wanitumbulie mimacho hapafai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.