iyo inajulikana ,shida haina wateja
impossibleAtakua riz moko ndo kaanzisha huu uzi
Kwani chalinze ipo Dar au ....?Kwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Unaongea sehemu unazozifahamu Tu .tembea uone mkuu husisikilize maneno ya watu . bukoba haiko nyuma huseme watu wanawatukana wahaya maana walivyo kifedha na kiakili bukoba inabidi ifanane DubaiMoro mpo vizuri,yaani Chalinze kwa moro tunakaaa na kuwa wapole
acha kushindanisha chalinze na ayo mapori yakoChalinze bado hamjazidi kimji hiki cha kyaka kilichopo pembezoni mwa MTO kagera ndo mzidi mji wa pili Kwa ukubwa kwenye kanda ya ziwa baada ya mwanza? Mji wenye wakazi zaidi ya laki tatu ,mji wenye mashule na wasomi 65% ya tz.mji wenye bandari mbili kubwa kemondo na custum . airport kubwa Tu iliyobusy muda wato,maghorofa kibao umeshayaona kwenye picha,viwanda kibao vya kahawA,chai nk.mji wenye uwanja mzr wa mpira wa tatu tz.mji wenye hotel zaidi ya 20 zenye nyota tatu na kuendelea bila kusahau Hali ya hewa isiyopatikana popote tz .huo ni mji wa kyaka wilayani misenyiView attachment 950882View attachment 950883View attachment 950884
ipo pwaniKwani chalinze ipo Dar au ....?
Wewe jamaa bangi utakuwa unalia kwenye ugali, yaani chalinze ambapo basi linakatiza dk 2 kamji kote kameisha ulinganishe na makao makuu ya mikoa uliyotajaKwa mzuguko wa fedha,majengo,maendeleo mji wa chalinze unazidi makao makuu ya mikoa ifuatayo
1.Shinyanga
2.Kigoma
3.Lindi
4Mtwara
5.Singida
6.Kagera(Bukoba)
7.Mara(Musoma)
8.Simiyu(Bariadi)
Kazi kwenu wavulana wa mikoani
Mi naona chalinze inalingana na kimji cha kyakaacha kushindanisha chalinze na ayo mapori yako
Hongereni kwa hilo mkuu, ni kweli haina wateja?Hii hotel ina nyota tano ipo bukobaView attachment 950871View attachment 950876
kamwe huwezi liganisha Newyork(chalinze)na Entebe(kyaka)Mi naona chalinze inalingana na kimji cha kyaka
ila JAMANI watanzania tuzingatie MIPANGO MIJI, hata chalinze iweje bila mipango miji ni takataka, sehemu nyingine ni MBEYA , MLIMA NYOKA, wenyeviti wa mitaa au madiwani waambieni watu au jipangeni kuacha nafasi ya baabara ! NYUMBA YAKO hata kama umepiga MSOUTH halafu hakuna njia ni kazi bure ! UONGOZI WA JIJI LA MBEYA LIFANYIENI KAZI SUALA LA MLIMA NYOKA, nyumba zinaota kama uoga halafu hakuna anaejali kuacha njia, uongozi jipangeni mtu akinunua aache njia mita 3.. JAMANI tuko kwenye zama na sisi tuonekani watu jamani.. hali kadhalika CHALINZE viongozi jitahidini sana kuancha nafasi za barabara hata kama serikali haijafanya. hii ni kwa faida yako mkazi na wala si faida ya serikali
Ungeshuka toka kwenye gari uone mafanikio ya Chalinze.Leo kwa bahati napita Chalinze hapa. Yaani kijiji hiki ndiyo ufanankshe na Mtwar
Ata Chalinze kuna watoto wazuriUngetoa singida mkuu!maana kuna watoto wa nzuri wanakuza uchumi wa viwanda[emoji23]
Pia ungetoa na mtwara pia,mtwara imechangamka kwa kiasi Fulani pia kumbuka pale kuna boda ya Mozambique kuanzia saa 12 jioni kupata guest ilikuwa ni mtihani kweli utakuta zote zimejaa!
Mtoa mada utakuta wewe unaishi Dar hata mbagala hupajui
Kiufupi haujaelewa madaMakao makuu ya mikoa uliyoitaja yote ina hadhi ya Halmashauri za Manispaa (Manispal Council)kwa zaìdi ya miaka 10. Leo unakuja kulingamisha na Halmashuri ya Mji ambayo umti wake ni miaka 4.
Rudi kajipange Upya.
Uoga =UyogaNyumba zinaota kama uoga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]