Chaliakee anapiga chobi

Chaliakee anapiga chobi

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Makosa n kuendekeza domo zege

Jamaa akitoka hapo anaenda moja
Kwa moja kwenye bafu
 
Naona Chalii alipata paba na cha Arusha kwa wakati mmoja.
 
Haha sasa sijui kwa akili zake anadhani kuna mwanamke atasimama wima wakati sehemu zake za siri zinakaguliwa.!
Hii dunia aliyoko Chalii hapo ni ile ambayo wa kitaa wanakwambia nikilewa mimi English inapanda vibaya sana.
 
Atakua alikua anaangalia kama kilichopo ni kile alichokizoea[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nilishamuona km huyu alikuja anamshika machuchu mdoli, watu wanawaza ngono tyuu
 
74cf0f376265e58cd17b879e67289e1b.jpg
ashapga kitu cha arusha yupo high
 
Back
Top Bottom