Chalamila: Mwendokasi Mbagala kuanza wiki ijayo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mabasi ya mwendokasi yataanza kutoa huduma katika njia ya Mbagala wiki ijayo.
 
Ukishaona ahadi haina namba ya tarehe jua ni kubagaza akili za wapiga kura!
 
Back
Top Bottom