Willy NGOMA
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 4,534
- 5,981
Dah,yaani viumbe wengine taabu aise. Eti kama nyauKaranga,korosho,mihogo mibichi, matunda kiasi na mpatie balance diet kila siku, hakikisha uko peke yako, isije ikawa anamalizia nguvu zake kwa michepuko,maana wanaume washenzi kama nyau