Chakula gani unaipenda sana?

Chakula gani unaipenda sana?

NAPENDA MCHEMSHO WA UTUMBO NDIZI VIAZI,WENYE NDIMU/tangawizi kitunguu swaum! lool
 
Nyama ya kuchoma,chachandu kibao kwa ugali wa sembe,halafu na mtindi hapo mwaki,
 
NAPENDA MCHEMSHO WA UTUMBO NDIZI VIAZI,WENYE NDIMU/tangawizi kitunguu swaum! lool
teh teh inaonekana unajulia sana,mi pia napenda mchemsho wa utumbo wa ndizi ila hivo viungo ndo sina uzoefu
 
yep. ila mimi napenda zaidi nyama za kuchoma au kukaanga hasa zile nilizozipika mwenyewe
teh teh nyama za kuchoma au kukaanga ukipika tatizo ukipika unahisi vinapelea ukila
 
Nyama ya kuchoma,chachandu kibao kwa ugali wa sembe,halafu na mtindi hapo mwaki,
ila naona option zote za nyama ni nzuri kutumia kwa ugali
 
Kiburu.....hapo hunitoi hata kwa bulldozer.....lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom