Chakula cha wanasayansi nje ya dunia

Pamoja na maelezo yako mazuri, lakini hujajibu swali. Hawa wanasayansi walioko kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga, huwa wanakula chakula cha aina gani? Je kuna vyoo? Na je katika mwenzo kasi wa Km 18,000 kwa saa, mwanadamu anaweza kwenda haja?
Siyo kilomita 18,000, ni maili 18,000. Kuhusu chakula na mahitaji mengine Lilongo ameeleza. Chakula chao huandaliwa kwa kuongezwa virutubisho muhimu hapa duniani. Angani huko hakuna weight na air resistance hivyo chombo husafiri kwa kasi sana bila waliomo ndani kuhisi. Wanalala na kwenda haja kama kawaida ingawa kutokana na weightlessness watu hulala kwenye mifuko maalumu iliyoshikizwa kwenye kuta ili mtu asielee na kusogea wakati wa kulala. Kwao usiku huonekana mara 8 ndani ya saa 24 ambapo hudumu kwa dakika chache kutokana na mwendokasi.
 
hawabebi chakula kingi hivyo...
huchukua virutubisho vyote muhimu na kuvihifandi kama dawa au vidonge, wakila hivyo vinaenda kutumika mwilini moja kwa moja havihitaji kumeng'enywa( sawa na mgonjwa anapopewa dripu ya vitamini).
Hubeba maji kiasi kidogo tu kwani kuna dawa ya ku-purify mkojo(unaweza usiamini ila ndio hivyo).
mkojo husafishwa na kuwa maji safi, wanakunywa tena.
 

Haya mambo huwa yananivutia sana
 

Kwa jinsi tunavyojifahamu waswahili kuhusu kupenda kula sayansi hatuiwezi ya kwenda anga za mbali,sasa vidonge tu uishi aaaaah hii hapana hivyo vyombo vya kuendea huko walau viongezwe ukubwa ipatikane space ndogo walau ya kuweka maboksi ya biskuti na catton za azam cola dona kidogoooo na maharagwe walau sembe nyakati za usiku.
 

haha m-bongo asipopata kaharufu ka mkaango anahasi hajala bado . . wenzetu hao wamewekeza kwenye hayo mambo yupo ladhi hata kuiacha familia yake mwaka mzima ili afanye kazi
 

Hahahahahah! Umenichekesha sana
 
Kaa ujue na hili kuwa hakuna binadamu aliyewahi kufika Mwezini.

Achana na consipirancy theories. Watu wamekwenda mwezini mara kadhaa. Na upo ushahidi wa Kisayansi kuthibitisha hilo. Wamarekani walipofika mwezini kwa mara ya kwanza mwaka 1969, waliweka BEAM ambayo hutumika kupima umbali toka Duniani mpaka kwenye mwezi.
 
Hahahaah mkuu unaonekana kwenye ishu za kula upo vizuri.
 
na sisi hicho kitengo cha sayansi hapo bamaga ni lini kitarusha chombo? au mpaka ccm watoke madarakani?
 
Andika S kama jibu lako ni sijui... loh Watu wanafurahisha saana!
 
na sisi hicho kitengo cha sayansi hapo bamaga ni lini kitarusha chombo? au mpaka ccm watoke madarakani?

Kurusha chombo outer orbit si kazi ya kitoto.Nchi hazidi 10 zenye uwezo huo
 

Nadhan amekuelewa though usikate tamaa kumpa majibu mengine kwa kina.... Congrats
 

Ukisema marekati nakataa hakuna mmarekani aliyefika mwezini hao wakina amstorm walitua katika eneo la area 51 lililopo nevada hata warus wanalipinga hilo
 

Mkuu endelea kutujuza naona bado una vitu vingi vya kutujuza
 
Kwa kujifunza mengine zaidi tembelea blog hii http://tuongeescience.tumblr.com/tagged/Vyombo%20vya%20Anga
 


Mkuu big up. Nadhani unajua haya mambo zaidi.

Ukipata nafasi anzisha thread itakayojitegemea utueleze A-Z ya anga za juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…