Chakula cha usiku kwa wanandoa

Chakula cha usiku kwa wanandoa

Joined
Jul 23, 2010
Posts
44
Reaction score
15
Kikawaida kwa wanandoa wenye afya njema umri 35-45yrs hukutana kimwili mara ngapi kwa wiki ama kwa mwezi?
 
Kikawaida kwa wanandoa wenye afya njema umri 35-45yrs hukutana kimwili mara ngapi kwa wiki ama kwa mwezi?

Siku hizi kila kitu kinaulizwa basi hata muda wa ku do na mkeo unauliza?..kwa hiyo tukushauri pia muda wa wewe na mkeo kupata hamu ya sex?..kwa mfano tukikuambia fanya kila jumamosi halafu wewe na mkeo mkajisikia kufanya jumatatu utafanyaje
 
Hivi sikuhizi wanaume tumekuwaje..?!!!
 
hakuna fomula hapo bali wanandoa wenyewe hupanga kutegemea na mahitaji yao
 
Dah mi nimetailwa kijijiin jando la maana tumeandaliwa kuwa wanaume sio hawa wanao tairiwa mjin chini ya usimamizi wa mama zao
 
Kha mnatuchosha jamani hili nalo linaitaji kushauriana. Fanya hivi buruza mzigo asubuhi ukiamka tu na jion unapokwenda kulala
 
Back
Top Bottom