Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Chief Aspirin ukicheki mwandiko unajua...
Sawa daktari. Lakini kuna tofauti kati ya mwanaume na mvulana japo miandiko yao inafanana. umenierrrewwa?
Chief Aspirin ukicheki mwandiko unajua...
wakati wote ni.wakati wa kyaiii"
ukicheki thread za siku hizi kuna vitu wanaume wanauliza vinashangaza sana...
kila ndoa ina ratiba yake..nadhan
najua basii!!unaamini Kweli kuna ratiba ....?
Siku hizi kila kitu kinaulizwa basi hata muda wa ku do na mkeo unauliza?..kwa hiyo tukushauri pia muda wa wewe na mkeo kupata hamu ya sex?..kwa mfano tukikuambia fanya kila jumamosi halafu wewe na mkeo mkajisikia kufanya jumatatu utafanyaje