Chakula cha ubongo na Peter Msigwa

ndege gharama yake ni ndogo kuliko kusambaza VETA hapa Tanzania.

Kwa hio tusijenge hivyo vyuo vya Veta? Unajua ni kiasi gani serikali ina lose kusomesha watu ambao hawako productive hawawezi kuchangia kny pato la taifa? Ishu Sio hela kukosekana ishu ni priorities
 
Ni pale tutakapowaandaa vijana kwa kuwapa/equip them with relevant skills/knowledge to face the future with confidence, mimi namlaumu sana mama Ndalichako kwa kutoa elimu isiyo wanufaa wahitimu wetu.
Yaani unamtegemea Ndalichako kukuelimishia mtoto wako?
Imeandikwa "amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu".

Mwanao akitoka shule, hakikisha anakutana na shule yako nyingine kabisa ambayo ni halisi na inampa ujanja wa kuikabili kesho yake.
 
Yaani unamtegemea Ndalichako kukuelimishia mtoto wako?
Imeandikwa "amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu".

Mwanao akitoka shule, hakikisha anakutana na shule yako nyingine kabisa ambayo ni halisi na inampa ujanja wa kuikabili kesho yake.

Asante mkuu,nadhani na wazazi wengine humu watazingatia ushauri wako,,,
 
43% ya Ndege wale waliopaswa kuruka hawawezi kuruka, nchini New Zealand.

Idadi kubwa ya hawa ndege wamelemaa kwa sababu kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanyama wanaokula wanyama Yaani (Predators)

Tatizo hili limekuwa kwa muda mrefu kiasi kwamba ndege wamekuwa wanajenga viota vyao ardhini.

Ndege hawa hata wale wenye asili ya kuruka wamelema kwa sababu hawapati challenge kutoka kwa predators

Moja ya jambo linalochangia umaskini katika bara la Africa ni chakula cha bure.

Katika Bibilia kitabu cha kutoka kila kijana aliyefikisha miaka ishirini alipaswa kwenda vitani.

Leo majumbani mwetu tuna vijana wa miaka 20, 25,27,30 ambao tunaendelea kuwapa chakula cha bure (Free food)

Kijana akipata chakula cha bure hawezi kufikiri akishindwa kufikiri hawezi Kuwa productive.

Hata kuku kuna wakati huwa anaachana na vigaranga vyake.

Nini maoni yako.
Ndo unataka kuunda bifu na tunao kaa kwa wazazi
 
Back
Top Bottom