Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,641
- 155,003
43% ya Ndege wale waliopaswa kuruka hawawezi kuruka, nchini New Zealand.
Idadi kubwa ya hawa ndege wamelemaa kwa sababu kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanyama wanaokula wanyama Yaani (Predators)
Tatizo hili limekuwa kwa muda mrefu kiasi kwamba ndege wamekuwa wanajenga viota vyao ardhini.
Ndege hawa hata wale wenye asili ya kuruka wamelema kwa sababu hawapati challenge kutoka kwa predators
Moja ya jambo linalochangia umaskini katika bara la Africa ni chakula cha bure.
Katika Bibilia kitabu cha kutoka kila kijana aliyefikisha miaka ishirini alipaswa kwenda vitani.
Leo majumbani mwetu tuna vijana wa miaka 20, 25,27,30 ambao tunaendelea kuwapa chakula cha bure (Free food)
Kijana akipata chakula cha bure hawezi kufikiri akishindwa kufikiri hawezi Kuwa productive.
Hata kuku kuna wakati huwa anaachana na vigaranga vyake.
Nini maoni yako.