Chakula bora cha Nguruwe wa kisasa

Neno concentrate Kwa Muktadha wa chakula, haujalikosea. Kuna Beef concentrate, Swine/ pig concentrate n.k.

Ni vyakula ambavyo vina "concentrated nutrients", yaani virutubisho vimekolezwa kwa wingi.
 
Okay shukrani kwa masahihisho,

Tunapatikana Machava Kigamboni Dar es salaam, kupitia barabara inayoenda mji mwema ukitokea ferry ya Kigamboni tunatazamana na kambi ya jeshi naval,

Mawasiliano ni 0714128565
 
Weka bei mjomba mbona kama unapindisha?
 
Shida ya ufugaji umevamiwa na makanjanja wanajiita wataalamu wa lishe kumbe wahuni tu wanatafuta hela kwa wafugaji walio desperate
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…