sam sanity 01
Member
- May 25, 2017
- 41
- 12
Acha uchawi we jabiri husseinUnahangaika bule kitu Mungu akishasema haramu basi ujue ni haramu tu
Kwani usizitimie hizo nguvu kufuga Ng'ombe?
Mkuu hasara inakuja kwenye niniMimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
Ng'ombe anazaa ndama 1 baada ya miezi 9. Nguruwe anazaa 12 baada ya miezi 3. Uharamu uko wapi?Unahangaika bule kitu Mungu akishasema haramu basi ujue ni haramu tu
Kwani usizitimie hizo nguvu kufuga Ng'ombe?
Huu sio uchanganyaji sahihi. Jitahidi upate elimu na folmula nzuri ya uchanganyaji chakula.Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
Najisi kwako sio wote taratbu mzeeAsubh asubh mnaanza ongelea najisi
Shame apon you all
Hutopata matokeo kwa uchanganyaji huu!Mimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
Acha ushwaitaniNajisi kwako sio wote taratbu mzee
Shaitwani unafanya nn Duniani usiende huko jehanamu yalipo makazi ?Acha ushwaitani
Wewe acha kutuletea ushetani wako hapa pepo wewe tokaShaitwani unafanya nn Duniani usiende huko jehanamu yalipo makazi ?
Tuondolee majini yako hapaUnahangaika bule kitu Mungu akishasema haramu basi ujue ni haramu tu
Kwani usizitimie hizo nguvu kufuga Ng'ombe?
Ushetani.... Yourself 😏Wewe acha kutuletea ushetani wako hapa pepo wewe toka
Mkuu labda ungekuwa specific kuwa hasara unapataje, kwa sababu kwa kuangalia hapo me sioni unpataje hasara labda udadavue hizo materials unanunua kwa kiasi Gani na hiyo 1tan wanakula nguruwe wangapi kwa siku ngapiMimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
Taratibu kwanza hivi concetrate ni nn kwanza maana hapa naona kuna shida mahali hakuna sehemu au ingredients inaitwa ilo jina sema makanjanja wameshawadanganya wafugaji wengi lengo wajipatie pesa kwa udanganyifuMimi natumia gharama kubwa kupata mchanganyo kwaajiri ya nguruwe ambao ni:-
Pumba mahindi 700kg
Concentrate 50kg
Mashudu 200kg
OlaQuindox 500mg
Bokhash 10kg
Dcp 10pkt
Pig booster 10pkt
Toxic binder 1kg
Jumla tani 1 ya chakula.
Napata matokeo lakini faida inakuja ndogo sana.
Je wanajamii kunamwenye mchanganyo mzuri na wenye gharama nafuu.
UongoHuyo mnyama anakula kila kitu. Hata kinyesi ukimpa hana shida.