AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
Habari wana JF
.. oa
Jamani is it me ama jamvini kumepoa saana mida hii??
Sina hata topic hapa... Akili haijakaa ki-serious....
Sijachoka... Sina usingizi... Sina movie mpya ya kuangalia..:A S embarassed:
Hivo sina ujanja... Please alonayo leta story/umbea/topic
yoyote ile tu-chat.
Take note: Story/umbea/topic yaweza badilika yeyote aweza
leta yake or akajiunga kwa iliyopo tayari....
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe .(ADI)