Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Agree to disagree in agreeable manner!!
Hapa mimi itabidi mnisamehe bure, unajua ile pande ya kwetu kumcharaza my wife wako ni inshara ya upendo!.hahahahaaaaa..........anampenda mumewe na kipigo chake!!! dah....!!! mtu mzima kucharazwa , tena na mkanda kabisa?? aisee kuna watu wana miili!!!
Hapa mimi itabidi mnisamehe bure, unajua ile pande ya kwetu kumcharaza my wife wako ni inshara ya upendo!.
hahahaha..... Ritz una mambo weyee.....lol... Mpaka hapa naona walo karibu wamesikia minong'ono yetu.....lol
Hii ndio tunaita "Uchakachuaji".Yego,
Wachasugu?
Hapa mimi itabidi mnisamehe bure, unajua ile pande ya kwetu kumcharaza my wife wako ni inshara ya upendo!.
Hii ndio tunaita "Uchakachuaji".
Tena natamani ningekapata kama haka ka Kipipi ningekacharaza si mchezo!.khaaa! Tata mura au?? Kwa hiyo nami nikiolewa kwenu nakua napewa kichapo? Ooh maama!
Daa yaani sikumbuki mimi mara ya mwisho kuandika barua sijui ilikuwa mwaka gani!.Next week na trip ya Nansio una barua?
Daa yaani sikumbuki mimi mara ya mwisho kuandika barua sijui ilikuwa mwaka gani!.
Huku kwetu hizo sijui E-mail hazijafika~bado ,tunatumia tekinolojia ya "Ungo"~Barua uandiki lakini E-mail mara ya mwisho kuandika lini?
Next week na trip ya Nansio una barua?
Huku kwetu hizo sijui E-mail hazijafika~bado ,tunatumia tekinolojia ya "Ungo"~
heheeh hapa kweli tunajiachia, ma stress yote kwishnei, hata kibuti cha husninyo hakinisumbui tena
Ubarikiwe Ashadii (source: Miss Judith ambae tangu aolewe haonekani, imekula kwetu)
kloro ni lecturer wangu. Nisipoelewa class anakuja kunifundishia chit chat.. (wee na Husny hata siwaelewi, sio ajabu akaja sasahivi hapa na mkafuatana kama kumbi kumbi...lol)
mmmh!!! Hayo maelezo.... haya bana....lol...