Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Yani mtu kakaa chini, kapata wazo, kuchukua mda wake na kutengeneza application nzuri kama poweramp yenye equaliser bora kuliko inayokuja na simu, pamoja na hapo ukinunua hiyo application ni yako mpaka kufa hata ubadilishe simu ngapi utabadiki nayo, pia unaeza install kwenye devices zako zote na hapo pia anakupa updates za hiyo app yako bila kuchoka.

Kwa kuangalia mambo yote haya naona hiyo 8000 ni ndogo sana kumlipa huyu developer. Hii ndio sababu kubwa sana ya madeveloper kwenda kutengeneza apps za iPhone tu maana ukiwasikiliza wanasema kutengeneza apps za android ni ngumu sana compared na ios lakini na ugumu wote wanafanya lakini bado kazi yake mtu anabeba bure.
Mkuu utakuja,umeandika vyema sana na kweli tupu.
Mimi nina mdogo wangu wa mwisho ni developer mzuri sana wa haya makitu,lakini kwa sasa tokana na "piracy" kubwa sana iliyopo kwenye " android products", ameachana nayo na sasa anadeal na idevice pamoja na OS platform nyingine ambazo angalau zina usalama wa kuaminika,na ni member mkubwa wa XDA developer na Google wanamtumia kama reviewer wao wa apps.
Kama tutakuwa tunaendekeza hali hii ya kupenda vya bure,basi hakika hatutakuwa na "inventions" au " innovetions" zozote za maana na kujivunia toka kwa Watanzania.
 
Yani bora mdogo wako kajua mapema na kaacha kupoteza muda wake kwenye hii platform, sasa kinacho nichekesha zaidi ni hawa madeveloper wengine wanatoa apps zao bure kabisa lakini ili na wao wapate japo ka hela kidogo wanaweka ads.

Lakini kama unavyo ona hapo juu watu wanaweka ad blockers ili hawa jamaa wasipate kitu kabisa, inasikitisha vitu vizuri tutaendelea kuvikosa huku.
 
Kuna siku nilishangaa mheshimiwa mmoja ambaye alikuwa ni naibu waziri wa wizara inayoshughulikia usanii akimwambia msaidizi wake amfundishe kupakua nyimbo za wasanii wa bongo kwenye wavuti bure,nilichoka kabisaaaaa.
 
Mimi sidhani kama hizi hoja zenu hapa ni mahala pake sababu ya kusema hivyo ni hii maelekezo yametolewa hapo awali yana tokana na app ambazo zipo mfano lucky patcher, game gardian nk na zimetengenezwa na hao hao developer mnao wa zungumzia.
Video zimejaa youtube kuelekeza jinsi ya kutumia app kama hizo.
Mimi ni washauri tu labda muwe mabalozi kwa hao developer kuwa watengeneze app zenye security nzuri kupambana na hiki kinacho endelea.
Binafsi siwezi nunua kitu wakati hata nisipo kinunua naweza kipata bure.
 
Na kuelewa sana unapotokea hata mimi nilikuwa kama wewe, tena nilikuwa zaidi yako wewe vyote hivi nimevifanya toka zamani sana haya malucky patcher, na kutorrent (Android app packs worth zaidi ya gb).

Sema tu ikafika wakati ela ninayo nikaona is iwe tabu ngojea nitoe support kwa hawa wabunifu na amini ipo siku na wewe utabadilika.
 
Mkuu Hans Pol baada kukamilisha kuinstall hii kitu naona inachukua hadi video na kuzifanya audio (zinakua kwenye playlist) ndivyo inavyokua ama ni kwangu tu?
Ndivyo ilivyo kama una video ita play audio ya hiyo video hivyo ni vyema kama ungefanya separation ya file zako video zikakaa kwenye folder moja audio zikakaa kwenye folder nyingine. Pia angalia kama setting itaweza kukuruhusu kufunga hiyo process kama hujaipenda.
 
wadau mm nataka tuungane tupeane mawazo namna ya kuchakachua ile app browzer ya thl unalipia kwa mwezi lakin tuwe na uwezo wa kusave notes zetu offline kwa kutumia simu karibun kwa mawazo
Hahahaaaa wewe kiboko aisee...
Kuna kipindi waliiachia free kama mwezi nika screenshoot masomo kadhaa ya A level.
 
Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo "ROOTED"
Kama simu yako umeshai ROOT twende hatua kwa hatua.
1. Dawnload poweramp trial kutoka playstore kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
4653c6afcc2cc295fdf52c75c5a70b6f.jpg

2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
81d761b99cfff89725386dd92453519d.jpg

3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
de7a02879473e051e02cb10d97efab41.jpg

4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
21ec38b0951513066f5627c31fc687e0.jpg

5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
e2bbb73ba98bd900e79ae74cdfbd2b2b.jpg

6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
61002eeaa995e3244c5a00ad2af9aec8.jpg

7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
2a470f3a094e982d8f12e1fdf3b68cdf.jpg
.
8.Enjoy poweramp...
Mkuu msaada wako plz kila nikijaribu inanipa ujumbe huu wakati simu tyari iko rooted
b7c8084373c9659199e3cd18a24e6503.jpg
 
Usiteseke bure........
Download Poweramp unlocker
HAPA

N.B
1-kumbuka kudownload poweramp trial version kutoka play store ndo uinstall hii unlocker yake
2-Haiitaji kuroot simu yako usihangaike
Anza kula midundo mwanaJF
Great ma phone not rooted or i think so(cause bought itvfrom ma friend) and i used ur method it is great !got a thank message for purchasing the app!
 
Mkuu msaada wako plz kila nikijaribu inanipa ujumbe huu wakati simu tyari iko rooted
b7c8084373c9659199e3cd18a24e6503.jpg
Ukisha idawnload hiyo poweramp ifungue kisha ifunge nenda luckypatcher, pia hakikisha kwenye lucky patcher umedawnload busy box
 
Great ma phone not rooted or i think so(cause bought itvfrom ma friend) and i used ur method it is great !got a thank message for purchasing the app!
Kukusaidia tu yawezekana ume ridhikana na ujumbe wa thanks for ................
Sasa fungua poweramp nenda setting angalia licence verification pale piga screen shut leta hapa kama kweli hiyo key inafanya kazi, au ni changa la macho. Huko kote tulishapita mkuu ndio maana nilisema kama ume ROOT. Without root huwezi chakachua poweramp labda uinunue.
 
Nahitaji msaada wa kujua ni rooter ipi nzuri kwa Samsung s5 marshmallow. Isiyotumia pc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom