Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Chakachua Poweramp kwa hatua hizi

Hivi hii poweramp haionyeshi video media au niliinstall vibaya! Ila nashukur nimefanikiwa kuiweka ambayo si trial.
 
Hivi hii poweramp haionyeshi video media au niliinstall vibaya! Ila nashukur nimefanikiwa kuiweka ambayo si trial.
Hii ni music player, so kama una video na umeruhusu iplay vyote vilivyo kwenye simu yako ita play hadi video bila picha.
Ili i play audio tu nenda setting tafuta sehemu ya folder and library utaona sehem ya ku chagua iplay music kutoka folder utakazo chagua
 
unae taka ku root htc tumia farmaroot au update.zip but tupia TMWR ou Clockword recovery ili uweze kuroot kiurahic na kwa njia moja ama nyingine ka sjasahau kuna possibility ya kuombwa u unlock bootloader yako ambapo uta super CID kwanza {11111111} eb Careful kwa ww Wa HTC bcause uki Bug Tu step io cm ika corrupt bootloader unaenda ku pak ndan or otherwise upate JTAG ui unbrik pia kwa yoyoye anaeshindwa au kuhangaika ku root cmu atoe model hapo chin tamsaidia
 
Mkuu na mim natumia sony z3 ambayo ipo marshmallow kila napojaribu kuiroot inaweza fika asilimia 50% alafu ikastop kuendelea na zoezi la kuroot, je nitumie njia gani ili niweze kuiroot
 
Mkuu na mim natumia sony z3 ambayo ipo marshmallow kila napojaribu kuiroot inaweza fika asilimia 50% alafu ikastop kuendelea na zoezi la kuroot, je nitumie njia gani ili niweze kuiroot

unatumia njia gan au software gan ku root bob?
 
Mbona nimeipatch ikakubali ila baada ya hapo ikaanza kudai verification tena
 
Natangulia kusema hii ni kwa wenye simu ambazo zipo ROOTED
Kama simu yako umeshai ROOT
UPDATED:
KWANZA: Dawnload luck patcher hapa LUCKY PATCHER
PILI: Dawnload busybox hapa BUSYBOX

Haya sasa twende hatua kwa hatua
1. Dawnload poweramp trial version 2.0.9 build 554 kisha ifungue nenda kwenye setting utaona hivi
4653c6afcc2cc295fdf52c75c5a70b6f.jpg

2.Fungua Lucky patcher na utaiona poweramp ikiwa na huu ujumbe
81d761b99cfff89725386dd92453519d.jpg

3.ukiwa kwenye lucky patcher Iguse kwa sekunde kadhaa hiyo poweramp hadi uone hii menu imetokea chagua custom patch
de7a02879473e051e02cb10d97efab41.jpg

4. Baada ya kuchagua custompatch vitatokea vipengele vitatu chagua kipengele cha tatu.
21ec38b0951513066f5627c31fc687e0.jpg

5. Yatakuja maelekezo kwa rangi ya njano ambayo tulisha yafanyia kazi hatua ya 1.
Wewe utachagua Apply
e2bbb73ba98bd900e79ae74cdfbd2b2b.jpg

6.Subiri hadi lucky patcher imalize kuichakachua hiyo poweramp. Itakapo maliza utaona maandishi ya kijani utachagua Launch
61002eeaa995e3244c5a00ad2af9aec8.jpg

7. Poweramp itafunguka nenda kwenye kipengele cha setting angalia kama imekuwa verified.
2a470f3a094e982d8f12e1fdf3b68cdf.jpg
.
8.Enjoy poweramp
The effects dont last lol[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu usipoteshe uma, kama wewe mwisho wako ilikuwa ni root lolipop {5.0.X} watu tanaroot mpaka Nougat {7.1.X} inategemea njia unayoitumia
cjamaanisha kwamba ndo haiwez kabisa ila kwa wale watu ambao hawako deep sana na mambo hizo waliozoea njia ya kawaida..watu tuna root hdi laptop
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom