amini usiamini chaja na simu ni mtu na mpenzi wake, na walitaka wasikutane (kimwili)
mpaka wafunge ndoa, ila wewe na wenzako mlivyokuwa mna tabia mbaya mnachukuwa
chaja mnaichomeka kwenye simu kisha mnaulizana 'inaingia eeeh' tabia mbaya acheni huo mchezo sio vizuri.