Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Nchi hii Katika ni kitabu cha Kawaida sana Hakina Thamani yeyote Katiba inachezewa tena na Viongozi Walioapa kuilinda Hakuna wa KukemeaIssue sio style ...katiba inasemaje!?
Nchi hii Katika ni kitabu cha Kawaida sana Hakina Thamani yeyote Katiba inachezewa tena na Viongozi Walioapa kuilinda Hakuna wa KukemeaIssue sio style ...katiba inasemaje!?
Samia hata kwa sasa haagizi... Anaweza akashangaa jambo bila kutoa maagizo... Labda anamtuma makamu aagize kwa niaba yake, then aendelee ku keep sifa ya ustaarabu, usikivu na motherly figureHicho cheo cha Makamu wa Rais ni cha kipuuzi but kipo kama Reserve tuu.
Hayo maagizo ni ya Rais na Waziri mkuu,yeye Kazi yake ni kuwakumbusha maneno ya Rais sio kutoa maagizo sijui maelekezo.
Rais Samia kipindi ni VP alikuwa akija ziarani haagizi unless aseme nimeelekezwa na Rais ,kama kuna jambo kaliona alikuwa anasema atalifikisha kwa Rais,sasa huyu wa sasa sijui Ana shida gani
"Kichaa" kimehamia mkunduni?Si ulikuwa wewe?
UmeniwahiHuyo jamaa sijawahi kumwelewa...sometimes kama hazimo hivi
Kwani mama Tulimchagua? Huu ni ukweli mgumu. Vyama vya sasa vinatakiwa kuteua makamu wiselyDah! kwahiyo likitokea la kutokea kwa Mama huyu Mpango ndio anakuwa amiri jeshi mkuu?
Wale wanaenda kikatiba zaidikwa nini haki mfit mtu kutoka Bara
Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
SawasLabda mama anamuagiza mwenye nchi kwa chini amsaidie. Kila kiongozi na style yake mkuu. Nyerere alikuwa akimuagiza Kawawa halafu ambo yakiwa negative anamkana hadharani na Kawawa kwa utiifu wake hakuwahi mkosea Nyerere adabu hadi anastaafu.
Kawawa alpoagwa kustaafu utumishi wa umma Nyerere alitoa machhozi hadi akatamka" Kawawa asante sana ulibeba lawama zangu wewe miaka yote" Dr Mpango kwa utiifu wake na uadilifu wake anaweza akawa Kawawa wa SSH. KInyume chake atakuwa Lowassa wa Kikwete. Mabega hayajawahi kupanda .kuzidi kichaa.
Time will tell yeye ni nani. Bado mapema.
Naunga mkono hojaportifolio Kikatiba VP anayo kwenye Mazingira na Muungano. VP hana Mamlaka yoyote kwenye Utendaji wa Serikali. Ni ceremonial position, Ni reserve, Ni spare ya Presidaa ikitokea (Mungu aepushe)
Unaongea kama uliwahi kuwa Makamu wa Rais, ukastaafu na sasa umepumzika Kijijini!Tangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
mi mwananchi wa kawaida tuUnaongea kama uliwahi kuwa Makamu wa Rais, ukastaafu na sasa umepumzika Kijijini!
Ina maana anasubiri wachawi wafanye yao. Usikute ndio maombi yake. Dah hiki cheo sio wakitoe tu. Kuna watoto huwa wanamtazama dingi avute watumie mali, Il asio huyu jamaniDah! kwahiyo likitokea la kutokea kwa Mama huyu Mpango ndio anakuwa amiri jeshi mkuu?
Jomba wewe huelewi kaa kimyaa..mama Rais mwenyewe alitamka kuwa upande wa fedha kama alivyokuwa kabla ataendelea kusimamia masuala ya fedha kwa kuwa yeye ndio mtaalam na mzoefu..acha wivu jombaaaa...Rais anamtegemea sana upabde huo was mapato na matumizi..msimchukulie poaTangu ateuliwe Kama Makamu wa Rais Dr. Mpango amekuwa akitoa kauli za Kiutendaji bila kujali Mipaka ya Majukumu yake.
Mara ya Kwanza alisikika akimuagiza Waziri wa Fedha akusanye Tilioni 2. Bila kujua kwamba Mamlaka hayo ni ya Rais kwenda kwa Waziri wa Fedha kisha Kamishna Mkuu TRA.
Pili, Tena kasikika akiwaagiza Wakuu wa Mikoa Masuala ya Kinidhamu bila kujua kwamba, Mamlaka ya uteuzi na maagizo ya Kinidhamu yako Ofisi ya Rais - Tamisemi.
Huyu Dr anasahau kuwa yeye ni reserve wa Rais endapo litatokea (Mungu aepushe mbali). Na kwamba Mamlaka yake ya Maagizo ya Kiutendaji yako kwenye Mazingira na Muungano.
Afundwe huyu.
Sa kwanini unaharisha vitu usovyovijua..Nani kakuruhusu jomba...usijiingize kwenye mambo usiyoyajuami mwananchi wa kawaida tu
Nyerere alisitaafu kabla ya Kawawa. Na si kweli kwamba Nyerere alikuwa anamgeuka Kawawa.Labda mama anamuagiza mwenye nchi kwa chini amsaidie. Kila kiongozi na style yake mkuu. Nyerere alikuwa akimuagiza Kawawa halafu ambo yakiwa negative anamkana hadharani na Kawawa kwa utiifu wake hakuwahi mkosea Nyerere adabu hadi anastaafu.
Kawawa alpoagwa kustaafu utumishi wa umma Nyerere alitoa machhozi hadi akatamka" Kawawa asante sana ulibeba lawama zangu wewe miaka yote" Dr Mpango kwa utiifu wake na uadilifu wake anaweza akawa Kawawa wa SSH. KInyume chake atakuwa Lowassa wa Kikwete. Mabega hayajawahi kupanda .kuzidi kichaa.
Time will tell yeye ni nani. Bado mapema.
Hahahahhahaaa...bado ana utii kwa mwendazake...ajabu sana kutembelea.Bado ana kihali fulani cha ushamba wa madaraka. I was so surprised kuona anaenda kutembelea kaburi yani why?
Atulize mananihii aliyoyasema atufigwegwe kule Iringa 😃
Acha Mikwara Mbuzi JombaaaSa kwanini unaharisha vitu usovyovijua..Nani kakuruhusu jomba...usijiingize kwenye mambo usiyoyajua
Yupi?Anaweza yule