Chain Of Command: Dkt. Mpango hajui mipaka yake

Mpango anatakiwa awe kama Samia alivyokuwa kipindi cha Jiwe au Bilal na Shein walivyokuwa kipindi cha Kikwete
Na usomi wote anaishia kushika mikasi na utepe nimatumizi mabaya ya resources
 
Kwa upande wangu sioni umuhimu wa cheo cha Makamu wa Rais! Mimi naona cheo hicho ni kuliongezea Taifa mzigo tu! Kwani ni nchi ngapi duniani hazina Makamu wa Rais lakini maisha yanaendelea? Waziri Mkuu anatosha kufanya kazi ambazo anafanya Makamu wa Rais.
Kwa maneno mengine yupo tu akisubiri Rais afe!
 
Dr. Mpango ni changamoto kubwa, na nadhani kwa sasa kichwani hayuko sawa
 
Huyu ni kiongozi mbovu balaa hajui hata anafanya nini?
 
Hivi akiagizwa na Rais kufanya hivyo atamwambia hiyo siyo kazi ya Makamu wa Rais???
 
Sitashangaa siku nikisikia Mpango ameteua hata wakuu wa mikoa
 
umenikumbusha ya Uhuru na Rutto, mpaka wamewekeana BIFU
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kuombwa kutoa ushauri na kutoka hadharani tukoa matamshi ya issues za kiutendaji nje ya portfolio yake kama VP. Yeye ajikite kwenye portfolio za mazingira na muungano vinginevyo inatoa taswira kama vile anataka kum- overshadow mama kinamna..
 
Sasa wewe unaejua vifungu njoo na hivyo vifungu tuone Umahili wako Mkuu. Majukumu ya VP kwenye Muungano yako Mahsusi Kikatiba. Sasa wewe unaetaka kuhalalisha Maajukumu mengine kiutendaji njoo na Hivyo Vifungu

Mkuu, hii ya kwako sasa ni mpya!

This is the settled principle: He who alleges must prove!

Huwezi kumtuhumu VP kwamba anatoa maagizo ambayo yako nje ya mipaka ya kazi yake halafu ukamtaka mtu mwingine ndiye athibitishe kwamba maagizo ya VP yamo ndani ya mipaka ya kazi yake. Huo utaratibu haupo. Unapaswa kutuonesha mpaka wa kazi ya VP Kikatiba na jinsi ambavyo maagizo ya VP yamevuka huo mpaka!
 
Ashughurike na wizara zilizo chini yake pamoja nakukaimu rais akiwa nje ya nchi au akiwa rikizo
 
Nadhani siku anamuapisha kasema pamoja na majukumu yake ya kikatiba lakini anamtaka akamsaidie katika ukusanyaji wa mapato na kubana matumizi ya serikali ingekuwa ushauri tu wala asingesema ila kampa majukumu nje majukumu ya kikatiba.
 
wewe inakuuma nn acha upumbavu wako
 
Kinachoshindwa kueleweka ni ukweli kuwa makamu wa rais ni rais msaidizi. Anafanya kazi kadri ya maagizo ya rais. Anapotoa maagizo mbele ya umma anafanya hivyo kwa makubaliano kati yake na bosi wake.

Ndio maana Rais kule Dodoma akiongea na viongozi wa dini akasema yeye na hayati JPM ni kitu kimoja. Wote ni washirika wa cheo cha urais.

Mleta mada kakariri maana ya jumla ya makamu wa rais.
 
Muha ni muha tu
 
wewe inakuuma nn acha upumbavu wako
Kwa hiyo reserve haruhusiwi kupasha misuli? Mama Samia wakati alipokuwa makamu alikuwa akiongea mambo ya nidhamu kwa wateule kawaida tu mimi nashangaa chuki za nini Mama mwenyewe karidhika sisi ndio tunaumia. Wa Tanzania tuna shida sana hakuna zuri kwetu angekaa kimya tu ungesikia hili limezubaa hata halimsaidii Mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…