CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
Hii kitu ilisumbua sana enzi zake
Dah..Umenikumbusha mbali sana miaka ya 1990 hivi nilikuwa naipanda kutoka Makonde mpaka Mwenge we unafika vumbi kibao..lolll mmm tumetoka mbali.Hii kitu ilisumbua sana enzi zake