Chaguzi Ndogo Tatu 2012 ni Dhahiri

Chaguzi Ndogo Tatu 2012 ni Dhahiri

Scolari Ndenga

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2008
Posts
271
Reaction score
43
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.
 
Nanahisi zitakuwa tano kufuatia ndoto niliyoota juzi.
 
unaandika kama ulikuwa Abbottabad
 
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

Haihitaji kuwa sheikh Yahaya kuona haya.. Licha ya kupelekwa India baada ya kuugua kwa muda mrefu, inavyoonekana Mbunge wa Arumeru mashariki atarudi kama Nyerere alipotoka St. Thomas. Hali yake ni mbaya sana na kansa ya ubongo ni vigumu kuhakikisha kurudi kwake akiwa mzima! Na cdm tayari kuna kijana Nassar Joshua ambaye kura zake zilichakachuliwa. Safari hii haitawezekana.

Kuhusu Shibuda, nadhani cdm wanasubiri wamalize uchaguzi wa madiwani Arusha. Ni issue ya muda tu.

Kwa "Kafulia" tayari cdm wanasherehekea. Nafikiri hilo ni pigo kwa Zitto na sidhan kama ataenda kupiga kampeni huko maana last time alimtosa aliyekuwa mgombea wa cdm!

Bado sijaona jimbo ambalo cdm watapoteza.
 
Mimi nimeota kiti cha urais kiko wazi! Ni ndoto au ni kweli wana JF? Nijuzeni mlio TZ hasa karibu na magogoni

Mbona kipo wazi siku nyingi tu! Ndoto yako imechelewa sana.
 
Hizo ni ndoto za mchana kwa chadema. Sasa hivi hatupotezi jimbo hata moja.
 
hapo magamba ccm meno nje lakini wajue na hila zao zitawapeleka kuzimu
 
Huyu Sumari si ndiye alikuwa akiamrisha gari limfuate popote alipokuwa amekwenda kwa ndege?Hakujua maisha yana mwisho? Shame on you!
 
Du! sio busara kufurahia kifo cha binadamu mwenzako lakini sometimes uvumilivu unaweza kukushinda.
 
Inawezekana chaguzi ndogo zikaongezeka. Nimeota Mh. EL nae ataachia jimbo kwa stroke maana anawaza sana nowadays.
Sina uhakika na jimbo la Urambo maana mzee wa Speed & Standard amezidi kuropoka
 
Nassary ni mbunge wa arumeru toka baada ya uchaguzi ila tu alicheleweshwa kuapishwa kwa makusudi ya magamba hata ukiangalia list ya majimbo huru arumeru halipo wakati ni dhahiri jimbo hili lipo wazi. Naamini hata Bi kiroboto hamjui mbunge wa ARMR kitu ambacho ni ishara tosha kuwa hakuna mbunge hata baada ya uchaguzi
 
Zitakuwa nyingi tu!zaidi ya tano!nimeota wengine wawili watakataa kula ugali na posho
 
Zitakuwa nyingi tu!zaidi ya tano!nimeota wengine wawili watakataa kula ugali na posho

jamani hivi tutaongozwa na ndoto kizazi hiki ??????? mwisho itakuwa njooooooooo ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii:lol::lol::lol::lol:
 
Back
Top Bottom