Chaguzi Ndogo Tatu 2012 ni Dhahiri

Mimi nimeota kiti cha urais kiko wazi! Ni ndoto au ni kweli wana JF? Nijuzeni mlio TZ hasa karibu na magogoni

Tumeanza mwaka wa pili sasa bila Rais! Kiti kiko wazi ck nyingi. TZ tunajiendea tu bila Rais. Hiyo ndoto yako ni fake!
 
Kafulila akiwa mwenyekiti najiuzuru ubunge jimbo limepona la Kasulu mjini.
 
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

Mkuu japo umeanza na pre emptive defence ila hujamtendea haki Sumari na Familia yake. Kuna usemi kuugua si kufa, japo kifo ni safari yetu sote. Yaani sisi wote ni marehemu watarajiwa. Ungekuwa umetumia busara sana kama ungesema 'ATAJIUZULU KWA SABABU ZA KIAFYA'.
 
Dah!nimeota tena leo!jimbo la mzee wa kiraracha(vunjo) litakuwa wazi mda si mrefu.
 
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

we mshenzi.... hiyo ya pili sijaipenda kabisa, tafadhali Sumari ana familia, jamaa na marafiki.... sidhani kama ni staha kuanza "kugawana mali za marehemu" kwa style yako

Hakuna aliyeiona kesho na wala kufanya kazi ya kupanga mafaili na Mungu
 
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

na kigoma Kaskazini je? Manake mwenendo wa mshkaji wetu siusomi kabisa
 
Wakuu naziona chaguzi ndogo tatu mwaka 2012. Wa kwanza ni ule wa Kigoma kusini ambao yanki Kafulila katemeshwa na Mbatia baada ya kujaribu kumtishia nyau.

Wa pili ni wa Arumeru Mashariki. Japo si vema kumtabiria mtu kifo lakini kwa hali ya mbunge wa sasa Jeremia Sumari dakika yoyote anaweza akawa past tense.

Uchaguzi wa tatu ni wa Maswa Magaribi. Si mnajua Shibuda nae kakalia kuti kavu huko CDM na CDM wenyewe hawanaga mzaaa? Tena kwa matamshi yake ya juzi kati hapa sidhani kama CDM watamkopesha.

Naamini CDM watakua na uwezo wa kuyakamata majimbo yote hayo.

Bado naziona chaguzi tatu ndogo lakini nautoa huo wa Arumeru na kuuweka wa Wawi. KUna uwezekano Hamad rasghid naye akafukuzwa au akaamua kuondoka CUF
 
Kwa gharama ya nani yote haya? Tuendelee tu kugharamia SIASA kwa visingizio vya democrasia ambapo kikundi kidogo tu cha watu wasiofikia 100 wanamvua mtu uanachama aliyechaguliwa na maelfu kuwa mbunge wao. Tunakaa tunachekelea tu!
 
Nassar joshua ndio mpango mzima pale,lakini jamani nyie watu sio freshi mmeanza kutabiria mtu kifo kiivyo na kuanza kuombea uchaguzi,la msingi tumuombee apone salama then mambo mengine badae,ni mwenzetu yule jamani.
 
Back
Top Bottom