Bandiko lako mashiko zero.Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu. ,
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum
Bandiko lako mashiko zero.
Sio lazimakuanzisha thread, unaweza ukawa mchangiaji mzuri tuu!! Sijaona cha maana ulichoweka ktk uzi wako, vacuum kabisaaaaaa!!Habarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu. ,
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum
Mkuu pandiko lako lina giza jingi! Mbona unaficha habari wakati hapa JF watu tunajimwagaHabarini za jioni wanajamvi
Baada ya salamu nijikite kwenye mada, habari zisizo rasmi kutoka makao makuu ya nchi Dodoma , zimemjuza mnyetishaji mmoja kuwa rais ajaye keshapewa baraka zote na chama na imefikia hatua za mbali zaidi kumuongezea ulinzi kwani imeonekana anawindwa sana kama swala aliye nyikani, mgombea huyu jina kapuni ameonekana ndiye suluhisho la matatizo yote ndani ya CCM hasa suala zima la ufisadi na rushwa kansa inayoitesa CCM kwa muda mrefu. ,
Tutaendelea kujuzana kila kinachojili ili jf iwe ya kwanza kufahamu
NB: Mgombea huyo anatokea bara na wala sio visiwani, wazee wa baraza wameshamaliza kila kitu
By Baro
Nikiwa Dodoma , kwa kazi Maalum
Mkuu pandiko lako lina giza jingi! Mbona unaficha habari wakati hapa JF watu tunajimwaga