Kama nilivyosema awali kwenye hatua ya nusu fainal, nia ya hili taji ninayo, uwezo ninao na ni wakati mwafaka wa kumpata miss mpya mwenye mawazo mapya na uwezo wa kulichangamsha jukwaa.peke yangu sitaweza ila nikipata support yenu naamin ninaweza kupeperusha taji hili.karibun mnipigie kura!