Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,835
- 831,067
Kama hazikutoshi.....!!!
Kama hujui nini maana ya huduma bora za jamii
Kama hujui ni kiasi gani kinatumika kununua wapinzani
Kama hujui kuwa huu ni ukoo wa panya fisi na mbwamwitu wasio na chembe ya huruma na wewe
Chagua CCM kama hazikutoshi
View attachment 291359
Kama unadhani vipaumbele ni kufanya maskhara kwenye jambo makini
Chagua CCM kama huelewi nini maana ya kunyenyekewa kipindi hiki
Kama unajitambua kama wewe ni mzalendo na una uchungu na taifa lako chagua Lowassa chagua mabadiliko chagua UKAWA kwa kuwa ni wakati wetu sasa
Popote kwa lolote bila chochote tupo