Chagua CCM chagua mahitaji haya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chagua CCM chagua mahitaji haya...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dingswayo, Sep 24, 2010.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  TUKO HIVYO

  Hatuoni

  Hatusikii

  Tunadanganyika kirahisi

  Tunafuata mkumbo


  BAADAE TUNALALAMIKA  Chagua CCM


  Ofisi zetu

  [​IMG]
  MAKAZI YETU

  v


  [​IMG]

  shule zetu

  |
  v


  [​IMG]

  Darasani kwa watoto wetu

  |

  v


  [​IMG]

  Huko vijijini-Dispensary

  |

  v
  [​IMG]


  WAO WAKICHAGULIWA....

  Ubalozi wa Tanzania
  Washington

  [​IMG]

  Ofisi zetu za Bunge

  |
  v

  [​IMG]

  |
  v

  [​IMG]


  Kuna cha kuongeza?

  Sasa tucheze na hesabu 6,900,000/= kwa mbunge mmoja,zidisha mara miezi 12 then zidisha kwa miaka 5 = 414,000,000/= jumlisha 50,000,000/= anayopewa mara baada ya kumaliza miaka 5 = 464,000,000/= kwa mbunge mmoja.  464,000,000/= siko tayari kuzidisha fedha hii mara wabunge wote kwa miaka 5,calculator yangu itachanganyikiwa alafu niingie gharama ya kununua nyingine.


  [​IMG]  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]


  [FONT=&quot]


  [/FONT]​
   
 2. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wenzetu kenya, juzi ukilikuwa mnada wa magari ya kifahali. Waziri wa fedha uhuru kinyata anasimamia. Sisi hata mtoto wa mkulima PINDA analalamika majukwani.
   
 3. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchumi ungekuwa unapangwa kwa kupanga picha, basi ukumbi huu ungekuwa unashindana na Oxford na Cambridge kwenye mambo ya uchumi.
   
 4. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Maumivu ya kichwa uanza pole poleeeeeeeeeeeeee
   
 5. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  DU Mi nina calculator ya Mjerumani lakini Hola, ngoja nijaribu ya Zimbabwe maana ndo Hesabu zake:lol:
   
 6. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na uwendawazimu utaanza siku hiyo matokeo kamili ya uchaguzi yatakapoanza kutangazwa!
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkuu Imma ukipata jibu kwenye kikokotozo cha Zimbabwe tuambie maana yangu ya kichina imezima kabisa hata kuwaka haitaki baad aya kujaribu kufanya hesabu la wabunge wote :confused2::becky:
   
 8. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Uendawazimu mbona upo vichwani mwetu siku nyingi. Ni wale waliouona mwanga tu ndio wanaweza kusema rangi ya kilicho mbele yao!!!!!!
  Fikiria: Hakuna ukame, hakuna jangwa, mito ni ya kumwaga, ardhi kubwa zaidi ya Kenya na Uganda Kwa pamoja, Maziwa yote makubwa katika afrika mnayo, madini muhimu yatafutwayo kodi ulimwenguni mnayo. Mlichonyimwa na Mwenyezi Mungu ni akili peke yake. Ndio maana watu 40 milioni mnaweza kudanganyika kitoto sana na msing'amue.
  Umasikini ndio utakuwa wimbo wenu wa taifa mpaka kiama. Umasikini ni kitu kibaya sana, lakini umasikini wa mawazo, eeeh Mungu!
  CHAGUA UMASIKINI, CHAGUA CCM
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  naomba nitoe hesabu mwingine aseme kwa maneno 162,400,000,000.00
   
 10. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mkuu BornTown nimejaribu kutumia calculator ya simu yangu kuzidisha hiyo hesabu imezima na it doesnt want to restart again.Oh my God I have to buy another phone.
   
Loading...